CRDB wanavyotapeli Wanafunzi wa Vyuo Vikuu bila wao wenyewe kufahamu

Hawana makato ya kipuuzi? Yaani hawa wengine - ukitoa, ukiweka, ukiomba statement, ukiangalia salio kwenye app, ATM... hauwakwepi! Halafu mwisho wa mwaka wanatangaza faida ya mamilioni!
equity nadhani ni wakenya na HQ zao zitakua Kenya....
 
Hii Bank ni kichomi,hata mimi walifyeoa pesa yangu kwenye account baada ya kuwabana sana wakasema nisubiri Siku 45 za kazi itakua imerudishwa katika account yangu.
 
Binafsi nahisi muhudumu wa CRDB aliekusajilia hiyo kadi ndio amekupiga.
Kaunganisha ifanye online transaction, details anazo kwenye notebook analipia zake iTunes
 
CRDB wezi Sana nna ushahidi walishaniibia Mara mbili, Kuna siku kipind nipo first year niliingiziwa laki 5 na elfu 20. Kwakuwa ilikuwa Ni fingerprint system Nikaenda kutoa laki mbili MDA huohuo baada ya kuverify . Ikawa imebaki 320,000. Kesho yake asubuh nkasema niimalizie kutoa pesa yote 320k iliyobaki, chaajabu niliishia kutoa 270,000 tu nyingine wamekata. Yaan ndani ya masaa kadhaa tu wamekata 50,000. Kunakipindi Tena waliniibia 30k yangu. Nikajakugundua haitakiwi uachie hela kwenye Account yako. Ukiingiziwa boom toa lote.
 
Mkuu, subscription inaweza kufanyika hata kama sijatoa taarifa zangu za bank? Na hata hiyo Application ya iTunes sina kwenye simu yangu, hilo linawezekana vipi?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Nilipo choka ni tawi lililokwambia rudia ulipo fungulia account. Ina maana CRDB kila tawi ni bank inayo jitegemea? Matawi hayapo interlinked?
 
Aliyeibiwa ndio anajua wapi ameibiwa fullstop, kinachofata saidiwe tu kama inawezekana
 
Mkuu

Kama ulijiunga na Internet Banking na ukaruhusu malipo ya online ni rahisi sana kuibiwa

Kufanya malipo online mtu anahitaji namba ya Visa/Mastercard na CVV [Card Verification Code], ile number inakuwa na digits 3 nyuma ya kadi. Mtu akiona tu kadi yako na akachukua hizo details anafanya malipo bila ya kuwa na password yako.

View attachment 1871595
Kwa sites nyengine kama Amazon, hata CVV huhitaji namba zilizo mbele na expiry date zinatosha, usiruhusu mtu kushika au kupiga picha kadi yako ya ATM, si lazima myu awe nayo ili kuitumia
 
Mm nilikutanaga na sms ya ndg mteja makato tuliyokata yamesharejeshwa, na hapo sijafanya muamala wowote ule, HATARI AISEE
Mimi pesa kiasi cha 2M ilingizwa kwenye akaunti yangu toka benki yenye namba za huko nje ya Tz. Baada ya nusu saa wakatoa 1.5M na hawakurudi tena. Niligundua hili baada ya kuomba bank statement mwishoni mwa mwaka. Niliponea chupuchupu kukombwa tuhela twangu!
 
Back
Top Bottom