CRDB acheni wizi, mnakata hela za wateja wenu bila taarifa

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
CRDB Mumekuwa mkilalamikiwa sana humu kutokana na kukata hella za wateja wenu kutoka kwenye akaunti zao bila sababu au hata kutoa taarifa.

CRDB ni kwa nini mnaleta huu wizi, wateja wamewaamini na kuamua kutumia benki yenu kuhifadhia pesa zao na kufanya biashara, lakini jambo ambalo linawashangaza wateja wenu wengi kwa sasa ni hili la kukata pesa kidogo kidogo kutoka kwenye akaunti ya mteja bila sababu au kumpa taarifa ya makato hayo.

Mnakata hella kidogo, kama mteja siyo mfuatiliaji wa transctions zake anazozifanya kupitia benki yenu siyo rahisi kugundua wizi huu

Tafadhari sana, CRDB ninyi ni benki inayoaaminika hivyo kama mnafanya hivyo kwa maksudi acheni mtaanza kupoteza credibility yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Acheni kukata hella za wateja wenu, mnawaibia.
 
CRDB Mumekuwa mkilalamikiwa sana humu kutokana na kukata hella za wateja wenu kutoka kwenye akaunti zao bila sababu au hata kutoa taarifa.

CRDB ni kwa nini mnaleta huu wizi, wateja wamewaamini na kuhamua kutumia benki yenu kuhifadhia pesa zao na kufanya biashara, lakini jambo ambalo linawashangaza wateja wenu wengi kwa sasa ni hili la kukata pesa kidogo kidogo kutoka kwenye akaunti ya mteja bila sababu au kumpa taarifa ya makato hayo.

Mnakata hella kidogo, kama mteja siyo mfuatiliaji wa transctions zake anazozifanya kupitia benki yenu siyo rahisi kugundua wizi huu

Tafadhari sana, CRDB ninyi ni benki inayoaaminika hivyo kama mnafanya hivyo kwa maksudi acheni mtaanza kupoteza credibility yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Hacheni kukata hella za wateja wenu, mnawaibia.
Kila mwezi hawa wahuni wananikata 10,000/=
Nikiwahi kuwapigia maelezo marefu yasiyo na maana..
 
Waambie wakupe bank statement na ionyeshe makato yanasema ni ya kitu gani halafu wakuambie ni wapi mlikubaliana kuwa watakukata pesa yako ikiwa ni account ya akiba na pesa haipo salama.

Then nenda kwa wakili na hizo nyaraka mkashauriane namna ya kufungua kesi ya madai .
 
CRDB Mumekuwa mkilalamikiwa sana humu kutokana na kukata hella za wateja wenu kutoka kwenye akaunti zao bila sababu au hata kutoa taarifa.

CRDB ni kwa nini mnaleta huu wizi, wateja wamewaamini na kuhamua kutumia benki yenu kuhifadhia pesa zao na kufanya biashara, lakini jambo ambalo linawashangaza wateja wenu wengi kwa sasa ni hili la kukata pesa kidogo kidogo kutoka kwenye akaunti ya mteja bila sababu au kumpa taarifa ya makato hayo.

Mnakata hella kidogo, kama mteja siyo mfuatiliaji wa transctions zake anazozifanya kupitia benki yenu siyo rahisi kugundua wizi huu

Tafadhari sana, CRDB ninyi ni benki inayoaaminika hivyo kama mnafanya hivyo kwa maksudi acheni mtaanza kupoteza credibility yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Hacheni kukata hella za wateja wenu, mnawaibia.
Watahacha tu.
 
hii sio sawa, wafanye vetting katika ajira,
Wakigundua mfanyakazi amekata mfano shs 200 kwa watu wasipungua 5 kwa maksudi atimuliwe kwani huwezi jua amekata kwa watu wangapi. Akikata hiyo kwa watu 100,000 tayari ana milioni 10
200 hela ndogo sana. Huwa wanakata kubwa ambayo unashituka kabisa. Yaani unakatwa 12,000/-,10,000/-,au 8,000/-
 
Hilo ni kweli kuna uzi hapa uliwekwa siukumbuki ila nam nilizungumzia suala hilo la kukatwa bila taarifa
 
Inakuaje benki za nchi zilizoendelea kama ulaya na marekani, kama uliacha balance kwenye akaunti tuseme shilingi elfu 10, utaikuta hivyo hivyo hata ipite miaka 20.......lakini kwa mabenki ya kibongo utakuta imegombaniwa kama mpira wa kona na tena umewekewa balance negative, kwamba unadaiwa, shida ni nini hasa? ni kwamba benki za kibongo zina njaa sana au ni hali ya tamaa kutafuta faida kubwa.

Mimi baada ya kushtukia hii katakata, pesa yoyote inayoingia kwenye akaunti benki fasta naenda kuitoa, bora kuweka chini ya godoro.
 
Ukiona mteja anafuatilia Hadi makato ya benk, anahesabu Kila pesa aliweka na Kutoa,

Jua Hali ni ngumu kimaisha.

Mungu atusaidie.
 
Back
Top Bottom