Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka hata hiyo statement ambayo ni halali yako kupata bure wamekuchaji hela. hapo ndio huwaga sielewagi hii nchi.Habari za wakati huu Great thinkers!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni kawaida kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoa pesa kutoka katika account zao za benki kidogo kidogo.
Huo ndio mwanya wanaotumia CRDB kuwatapeli fedha zao, kivipi?
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MUHAS). Mara nyingi, kama ilivyo kwa wanafunzi wengi, natoa pesa kidogo kidogo. Hilo hupunguza hata risk ya kuibiwa, natoa pesa ambayo nina matumizi nayo tu!
Tangu naanza kupokea Boom la kwanza, nilikuwa na wasiwasi kwamba pesa yangu inapungua. Lakini pasipo kufuatilia na pasipo kujua nika'assume' kwamba itakuwa nyingine inaishia kwenye makato!
Lakini ile hali ya kwamba pesa inapungua haikunipa amani kabisa!
Baada ya Boom la mwisho kwa mwaka huu ambapo kwa MUHAS tunapokea Takribani Tsh 665,000/= nikatoa laki 3 kwa ajili ya kulipa madeni na matumizi mengine.
Nilipokuja kutoa tena kiasi cha fedha elfu 50, nikashangaa kuona imebaki 190,000/=!! Hata kama ni Makato yanakuwaje makubwa hivi?
Nikaenda kuwauliza CRDB Kariakoo Branch wakasema hawawezi kunisaidia labda niende kwenye Bank niliyosajilia bank account yangu. Hivyo basi nikaenda Azikiwe branch na baada ya mvutano mrefu mwisho wakaniambia niombe bank statement.
Nikaomba ya June na July, nilichokikuta ndio hicho hapo chini! Hizo sehemu zenye duara ni malipo madogo madogo ambayo sija yafanya na wanadai nimeyafanya.
Ikumbukwe kwamba sijalipia premium kwenye App au sehemu nyingine yoyote na wala sifanyi manunuzi ya mtandaoni.
Itoshe kusema kwamba, CRDB ni wezi! Na huenda ikawa wanaibia wengi kwa staili hii hii bila wao wenyewe kujua. Hiyo ni kutokana na ukweli kwamba wanafunzi wengi sio wafuatiliaji.
Na je, hivi ni kweli hizi Tembo card zinaweza kutumika kwenye kulipia malipo ya mtandaoni? (iTunes)
Nimelileta hili jukwaani, ili watu walitambue. Binafsi nitaangalia namna ya kuwahama japo ni process ndefu kwa mujibu wa taarifa nilizopewa. Lakini je, huko kwingine vipi?
Inauma sana!
View attachment 1871494View attachment 1871494
Nakushauri usilaumu benk mojakwamoja. Fanya uchunguzi kuna mjanja anatumia credentials zako kufanya hiyo miamalaHabari za wakati huu Great thinkers!

Itakuwa kuna mtu wako wa karibu kachukua kadi yako ya tembo card mastercard, kacopy namba za card na CVV, exp date, anajilipia tu online. Kuwa makini na kadi yako unless ina OTP kwamba mtu akitaka lipia kitu unapokea code kwenye msg au email ili uweke kukamilisha muamala kitu ambacho nadhan CRDB hawana.Habari za wakati huu Great thinkers!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni kawaida kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoa pesa kutoka katika account zao za benki kidogo kidogo.
Huo ndio mwanya wanaotumia CRDB kuwatapeli fedha zao, kivipi?
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili (MUHAS). Mara nyingi, kama ilivyo kwa wanafunzi wengi, natoa pesa kidogo kidogo. Hilo hupunguza hata risk ya kuibiwa, natoa pesa ambayo nina matumizi nayo tu!
Tangu naanza kupokea Boom la kwanza, nilikuwa na wasiwasi kwamba pesa yangu inapungua. Lakini pasipo kufuatilia na pasipo kujua nika'assume' kwamba itakuwa nyingine inaishia kwenye makato!
Lakini ile hali ya kwamba pesa inapungua haikunipa amani kabisa!
Baada ya Boom la mwisho kwa mwaka huu ambapo kwa MUHAS tunapokea Takribani Tsh 665,000/= nikatoa laki 3 kwa ajili ya kulipa madeni na matumizi mengine.
Nilipokuja kutoa tena kiasi cha fedha elfu 50, nikashangaa kuona imebaki 190,000/=!! Hata kama ni Makato yanakuwaje makubwa hivi?
Nikaenda kuwauliza CRDB Kariakoo Branch wakasema hawawezi kunisaidia labda niende kwenye Bank niliyosajilia bank account yangu. Hivyo basi nikaenda Azikiwe branch na baada ya mvutano mrefu mwisho wakaniambia niombe bank statement.
Nikaomba ya June na July, nilichokikuta ndio hicho hapo chini! Hizo sehemu zenye duara ni malipo madogo madogo ambayo sija yafanya na wanadai nimeyafanya.
Ikumbukwe kwamba sijalipia premium kwenye App au sehemu nyingine yoyote na wala sifanyi manunuzi ya mtandaoni.
Itoshe kusema kwamba, CRDB ni wezi! Na huenda ikawa wanaibia wengi kwa staili hii hii bila wao wenyewe kujua. Hiyo ni kutokana na ukweli kwamba wanafunzi wengi sio wafuatiliaji.
Na je, hivi ni kweli hizi Tembo card zinaweza kutumika kwenye kulipia malipo ya mtandaoni? (iTunes)
Nimelileta hili jukwaani, ili watu walitambue. Binafsi nitaangalia namna ya kuwahama japo ni process ndefu kwa mujibu wa taarifa nilizopewa. Lakini je, huko kwingine vipi?
Inauma sana!
View attachment 1871494View attachment 1871494
Okay, ndio maana nikasema "kama", basi haina tabu nenda CRDB watakupata taarifa zaidi. Issues kwenye systems hazikosekani, sio kila tatizo ni makusudiCard yangu haina hivyo vitu mkuu. Nafkiri labda huzijui Tembo card za wanafunzi
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Ungemalizia kwa kusema "utanishuru baadaye" hapo kwenye I phone😄Inawezekana kabisa ana mtu alitumia kadi yake kujisajiri kwa online purchases maana ile hai hitaji namba siri za ya majina,kadi namba na expiration yake!
Cheki na jamaa zako unao share nao room au mchuchu kama mmoja wapo ana iphone huyo ndio anatumia kadi yako.
Siyo risk ndogoAhsanteni kwa muongozo wakuu.
Kupitia huu uzi nimejifunza mengi sana, nilikuwa siijui CVV nimeangalia hapa kwenye kadi yangu nimeona ipo baada ya kupata muongozo huu.
Kumbe kuacha wazi kadi ya bank kimasihara ni risk hivi.....
Siyo risk ndogo
Akijua namba za kadi na zile namba tatu nyuma ya kadi(CVV) kwisha kazi anaweza purchase onlineDaaah ila anaweza vipi kuitumia kama hajui namba ya siri?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
maana haya mabenki yetu ya nyumbani ni KERO, yanapenda janjajanja sana,
equity wanafanya poa sanaaaNiko Standard Chartered, nako ni hivyo hivyo. Sijui pa kwenda. NMB nako hivyo hivyo. Hata kuangalia salio ni makato! Zamani pesa za wazee wetu zikiongozeka benki. Siku hizi haizongezeki. Zinapungua!
equity wanafanya poa sanaaa
equity nadhani ni wakenya na HQ zao zitakua Kenya....Benki mama ya Equity iko Kenya ama Nigeria?