sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Hivi crdb bank wana minimum ya muda gani ku clear telegraphic transfer? Nimetumiwa tt toka denmark toka ijumaa nikiangalia kwenye account yangu naona hela zimeingia hata sim banking kwenye mobile inaziona lakini mbona siwezi kuzichukua kwenye atm? Huu utaratibu ni standard au ubabaishaji