Hawa crdb ni majanga kiukweli.
Lakini wapi kunaafadhali sasa?
Pamoja na mapungufu madogomadogo mimi bado naamini kuwa CRDB Bado ni benki bora Tanzania.
kitengo cha FOREIGN TRANSFERS, au wanaopoke international money transfers ni wababaishaji sana....kawaida Telegraphic Money Transfer, kama umetumiwa kutoka nchi nyingine let's say Uingereza inapaswa pesa kuonekana kwenye account yako baada ya masaa 24 lakini hawa CRDB kwa sababu nisizozifahamu wanashikilia sana pesa za watu kabla ya kuwawekea kwenye account husika... Mimi nashangaa wanashikilia pesa za wateja kwa sababu gani? Ukienda mapokezi wanakwambia eti Value date bado.....huu ni wizi kabisa. Bank inanufaika kutokana na fees itakayokatwa kweny pesa zilizopokelewa hawana uhalali kabisa kushikilia pesa za mteja kabla ya kuzi release kwenye account yake. Sisi tunaolipwa kutoka nje tunapata shida sana unakuta pesa zimetumwa zaidi ya wiki hujazipata wakati ni kitendo cha masaa tu...
Wanatengeneza ATM card kwa material yasio na kiwango, ikipasuka iliupate nyingine unalipa elfu 20,000/= ma teller hawajali wateja wanapiga story tu, sikumoja nilimuuliza teller mbona mnapiga story wakati wa kazi hadimnajisahau, akanijibu aah wateja tumesha wazoeanyinyi kaziyenu kulala mika tu.
Mimi ni mteja wa crdb kweli wana tatizo,nbc niliachana nao,hakuna vta ndo ukweli huoMimi naona hii ni vita ya libiashara kama si ya kikabila
Mimi ni mteja kwa zaid ya 15yr sijaona tatizo kubwa kama navoskia hapa pamoja na kua na akaunt 4 lkn at least crdb is better
Siku hizi kuna tabia ya kutumia mitandao kuharibu biashara za wengne na zaid kuna watu wameanzisha vita ya kikabila kwenye mitandao; take care
Nilikua nna mpango wa kufungua akaunt ya Asasi,nikawauliza requirement wakanipa,wakat tumeenda kufungua tukiwa tumekamilisha kila kitu,wakatugeuka wanataka vitu vingine,ajabu ni kwamba branch moja had nyingine wanatofautiana kwenye requirements,mfanyakaz mmoja had mwingine wanatofautiana pia.Najiulza benk yao haihitaj wateja?
As to me, CRDB ni benki yenye huduma bora na nzuri pengine kuliko benki nyingine zozote hapa nchini...
inaweza ikawa na makato makubwa kuliko crdb ndio hofu yanguExim bank ndo mpango mzima.
singida huku hakuna hiyo benki,benki zenu za dar kama ikulu ni shida tu!Exim ndo babalao kwa ubora wa huduma, jaribu utanambia
inaweza ikawa na makato makubwa kuliko crdb ndio hofu yangu
Hapana makato yanafanana na huko crdb. Usiogope.
Nilikua nna mpango wa kufungua akaunt ya Asasi,nikawauliza requirement wakanipa,wakat tumeenda kufungua tukiwa tumekamilisha kila kitu,wakatugeuka wanataka vitu vingine,ajabu ni kwamba branch moja had nyingine wanatofautiana kwenye requirements,mfanyakaz mmoja had mwingine wanatofautiana pia.Najiulza benk yao haihitaj wateja?
Hiyo ndiyo bank inayojiita 'Inasikiliza"
Na mimi naamini CRDB ndio benki yenye huduma mbovu kuliko benki zote Tz..Matawi yao ya PPF Tower, Azikiwe, Holland House ni vimeo!
Gharama zao zikoje hebu nisaidie ili niweze kulinganisha na crdb