CRDB ni Moja ya Benki zenye huduma mbovu sana

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,965
Reaction score
9,529
Hii benki mwanzoni nilikuwa nikisiakia watu wanailaumu naona kama ni majungu ila nimekuja kuprove kwamba CRDB huduma zao sio nzuri kabisa, Nimefuatilia ishu ya simu benking wiki nzima sasa na wakati najaza fomu niliambiwa ni masaa 48 na kibaya zaidi ni uongo wa wafanya kazi wao kila kitu wanasingizia systeam ilikuwa mbovu, hata kalamu ikiisha wao ni systeam ilikuwa mbovu.

Unajaza fomu wanapoteza inabidi tena ujaze upya fomu, kwa kweli wajirekebishe.
 
Tatizo sio banki bali ni uwajibikaji mbovu wa wafanyakazi kwamaana nilikuwa na mshkaji wangu mmoja juzi tumeenda pale kwa tatizo hilo hilo, nilifanya cm replacement lakini nilikuwa nayo baada ya kurudisha simu kwamaana nilipoteza nilijaza fomu baada ya masaa matatu nikapata sms "Dear customer, your simbanking is active. Please sial *150.03# and follow instruction".
 
Kwangu mimi wanachoniboa ni kutokuwepo hela kwenye ATM siku za weekends. Yaani siku ambazo watu tunakwenda shambani tunahitaji hela, wenyewe utakuta ATM zao hazina hela. Huwa nakereka sana.
Ila kwa huduma nyingine naona wanajitahidi, though NBC kwa sasa imeanza kufanya vizuri in terms of huduma hasa baada ya kukimbiwa kwa kasi na wateja.
 
CRDB mimi nilienda kurenew card yangu ya bank tawi la singida, nilienda mwezi wa APRIL mwaka 2014, cha ajabu card yangu ilikua master card coz nilikua naitumia kununua vitu online sasa wenyewe wakasema hawatanipa master card na badala yake watanipa visa card, nikawauliza why wakasema ndio utaratibu wa bank yao.....

Tisa kumi, nimepeleka requirements zakupewa card nyingine tangu April lakin mpaka mwezi October sijapewa card, siku hiyo nikawabadirikia eti wakasema nijaze form upya coz yaweza kuwa nyaraka zangu zimepotea.....sasa kama makaratasi tu yanapotea inakuaje kwenye pesa zetu......?
 
Kwangu mm CRDB ni benki bora kwasasa...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hii benki mwanzoni nilikuwa nikisiakia watu wanailaumu naona kama ni majungu ila nimekuja kuprove kwamba CRDB huduma zao sio nzuri kabisa, Nimefuatilia ishu ya simu benking wiki nzima sasa na wakati najaza fomu niliambiwa ni masaa 48 na kibaya zaidi ni uongo wa wafanya kazi wao kila kitu wanasingizia systeam ilikuwa mbovu, hata kalamu ikiisha wao ni systeam ilikuwa mbovu.

Unajaza fomu wanapoteza inabidi tena ujaze upya fomu, kwa kweli wajirekebishe.

kitengo cha FOREIGN TRANSFERS, au wanaopoke international money transfers ni wababaishaji sana....kawaida Telegraphic Money Transfer, kama umetumiwa kutoka nchi nyingine let's say Uingereza inapaswa pesa kuonekana kwenye account yako baada ya masaa 24 lakini hawa CRDB kwa sababu nisizozifahamu wanashikilia sana pesa za watu kabla ya kuwawekea kwenye account husika... Mimi nashangaa wanashikilia pesa za wateja kwa sababu gani? Ukienda mapokezi wanakwambia eti Value date bado.....huu ni wizi kabisa. Bank inanufaika kutokana na fees itakayokatwa kweny pesa zilizopokelewa hawana uhalali kabisa kushikilia pesa za mteja kabla ya kuzi release kwenye account yake. Sisi tunaolipwa kutoka nje tunapata shida sana unakuta pesa zimetumwa zaidi ya wiki hujazipata wakati ni kitendo cha masaa tu...
 
katika benki zote zenye mkono wa serikali na mtandao nchi nzima CRDB inapata B. NMB -C na NBC- E. Mleta mada labda kama una jambo jingine lakn this is one of the best local banks in tz i stand to be correct!
 
kitengo cha FOREIGN TRANSFERS, au wanaopoke international money transfers ni wababaishaji sana....kawaida Telegraphic Money Transfer, kama umetumiwa kutoka nchi nyingine let's say Uingereza inapaswa pesa kuonekana kwenye account yako baada ya masaa 24 lakini hawa CRDB kwa sababu nisizozifahamu wanashikilia sana pesa za watu kabla ya kuwawekea kwenye account husika... Mimi nashangaa wanashikilia pesa za wateja kwa sababu gani? Ukienda mapokezi wanakwambia eti Value date bado.....huu ni wizi kabisa. Bank inanufaika kutokana na fees itakayokatwa kweny pesa zilizopokelewa hawana uhalali kabisa kushikilia pesa za mteja kabla ya kuzi release kwenye account yake. Sisi tunaolipwa kutoka nje tunapata shida sana unakuta pesa zimetumwa zaidi ya wiki hujazipata wakati ni kitendo cha masaa tu...

labda inategemea imetumwa toka nchi gani, pesa ikitumwa toka Holland ndani ya siku 4 inakuwa ishaingizwa kwa account husika.
 
Back
Top Bottom