KERO CRDB Benki mna huduma mbovu sana Jirekebisheni

KERO CRDB Benki mna huduma mbovu sana Jirekebisheni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,506
Hii Benki sielewi inakumbana na changamoto zipi.

Huduma zao ni mwendo wa Kobe , customer care ni mbovu , huduma ya simbaking naipata kwa kubahatisha., ukiomba mkopo wanakupa kwa kujisikia wao kama una shida ya muhimu hesabu umeshafeli. Kwakweli najuta kuwa mteja wa hii Benki nitawahama soon. Sipendi kero ndogo ndogo Mimi.
 
Hii Benki sielewi inakumbana na changamoto zipi. Huduma zao ni mwendo wa Kobe , customer care ni mbovu , huduma ya simbaking naipata kwa kubahatisha., ukiomba mkopo wanakupa kwa kujisikia wao kama una shida ya muhimu hesabu umeshafeli. Kwakweli najuta kuwa mteja wa hii Benki nitawahama soon. Sipendi kero ndogo ndogo Mimi.
Nmb hamia kila sehm utakuta tawi lao wana nifurahisha sana
 
Niliwahi semaga hivi watu wakasema haujaenda NMB wewe.
 
Nimewahama kitambo hao.Walinikera siku moja nikatelekeza na account Yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom