nimehama crdb baada ya stress za kutosha kanjbai anihangaishe na bank wanihangaishe
ukitolea pesa dirishani utakoma mwenyewe
hakuna pa kupumzikia
hakuna vyoo na unakaa mda mrefu kwenye msururu
huruhusiwi kupokea simu ( nawaona ni wapiuuzi tu maana siku hizi whatsap inapiga kazi kuliko kuongea)
majibu ya kipuuzi
na kijinga pale hatiendi kuwaomba pesa tunaenda kuhifadhi ama kuchukua kilicho chetu
kisa cha kutugeuza watumwa ni nini wawe na adabu maana bila sisi hakuna wao...
bila kusahau wanapiga deal na majambazi yaani wao ndo wangezuiliwa kuingia na simu,! maana wanatuma picha za wateja kwenye whatsap ukifika nje unajistukia unakutana na mtutu wa bunduki
na wao pia wana katabia ka kuchomoa noti kwenye mabunda ya hela,kuweka elf 2katikati ya elfu10,na kumix noti zilizokatika.......
wateja wengi wanaibiwa kwa deal za ma teller