CRDB ni Moja ya Benki zenye huduma mbovu sana

CRDB ni Moja ya Benki zenye huduma mbovu sana

hii naona vita ya kibiashara tu...standard chata ina matawi mangapi! barclays,citibank...bank m n.k.
hapa crdb,nbc na nmb...kwa mbali benki ya posta...tunashambulia hizo private...tuulize sisi wa halmashaur na huduma zetu...mleta mada ungetaja tawi husika...ingekaa vzur ili wajirekebishe
 
Hii benki mwanzoni nilikuwa nikisiakia watu wanailaumu naona kama ni majungu ila nimekuja kuprove kwamba CRDB huduma zao sio nzuri kabisa, Nimefuatilia ishu ya simu benking wiki nzima sasa na wakati najaza fomu niliambiwa ni masaa 48 na kibaya zaidi ni uongo wa wafanya kazi wao kila kitu wanasingizia systeam ilikuwa mbovu, hata kalamu ikiisha wao ni systeam ilikuwa mbovu.

Unajaza fomu wanapoteza inabidi tena ujaze upya fomu, kwa kweli wajirekebishe.

Mimi sina cha kusema,huu ni ushahidi.Hakuna aliyejisumbua kujibu sio CRDB customer service wala hao waliopo mtandaoni hata baada ya kulalamikia huduma zao.In short kwa staili hii,wageni wataendelea sana kutawala sekta za huduma za jamii since baadhi ya watanzania wanaendelea kufanya biashara kwa mazoea ya kuvumiliana hata kwa sababu za kizembe.Kwa reputation amabayo CRDB imejijengea kwa miaka yote hii,nilitarajia itakua kinara kwa huduma nzuri huku ikiendelea kuteka soko la mabenki hapa Tanzania,ila kwa nilivyoona,hii ni mara ya kwanza na ya mwisho kua mteja wao.Wasipoangalia,watalipoteza soko lao,hasa na jinsi ambavyo mabenki yanavyochangamkia kuingia kwenye mobile banking.
IMG_4440.jpg
 
hii benki mwanzoni nilikuwa nikisiakia watu wanailaumu naona kama ni majungu ila nimekuja kuprove kwamba crdb huduma zao sio nzuri kabisa, nimefuatilia ishu ya simu benking wiki nzima sasa na wakati najaza fomu niliambiwa ni masaa 48 na kibaya zaidi ni uongo wa wafanya kazi wao kila kitu wanasingizia systeam ilikuwa mbovu, hata kalamu ikiisha wao ni systeam ilikuwa mbovu.

Unajaza fomu wanapoteza inabidi tena ujaze upya fomu, kwa kweli wajirekebishe.

hakuna benki yenye huduma mbovu hapa nchini kuliko NMB
 
Ni kweli kabisa, nadhani CRDB sasa imeanza kuzeeka.
Nilienda kuulizia kama naweza kufanya Transactions online kwa Visa electron.
Mhudumu akanihakikishia kuwa inawezekana na ndani ya masaa 24 itakuwa imeshawezeshwa.
Nikasubiri mpaka yakaisha masaa 48 hamna kitu, kurudi tena kwa mhudumu yule yule akasema Kadi yangu haiwezi kufanya hizo transaction mpaka nipate Master card..
Cha kusangaza nilipoenda BancABC na UBA nikapatiwa instant Visa credit cards (Electron) na kuanza kufanya purchases zangu siku hiyo hiyo.

CRDB ubabaishaji mwingi siku hizi.

samahani hizo bank mbili ulizotaja zipo sehem gani kwa hapa Dar
 
samahani hizo bank mbili ulizotaja zipo sehem gani kwa hapa Dar

Zote ziko Posta.

BancABC ipo kwenye Jengo la Uhuru Heights jirani Petrol station ya Puma.
UBA ipo Posta, ukitokea Maktaba kuu ya Taifa kama unaelekea Posta mpya iko upande wa kushoto.

Pia nasikia ziko maeneo mengine japo sifahamu address za hayo maeneo.
 
1.Ukweli ni kwamba crdb ina wafanyakaz wachache na waliolemewa na kazi.
2. Utendaji wa hawa vijana wa facebook sio mzuri..màana utawakuta wao bize na smart phones kazi watafanya saa ngapi
 
Crdb ni moja ya benk za ovyo kuwahi kubank nao. Atm card yangu ilipotea sasa ni mwaka, nimewasiliana nao mpaka nimechoka, pindi nikirudi nyumbani nitafunga account yangu na kuahamia benk nyingine. Huduma huwezi kupata mpaka umjue mtu, wht a f..... Ni benk ya ovyo sana
 
NBC Mtwara kuna jamaa ana barua za serikali za mitaa humo ndani. Ukitaka kufungua akaunti pale unamuona yeye unaacha picha, majina yako na kuweka sahihi panapohusika kisha anakutumia namba yako ya akaunti kwa sms. Huyu jamaa anamtumia sana mlinzi wa mle ndani kufanikisha dili zake. Ktk zoezi la uhakiki wa taarifa za wateja jamaa alikuwa anatoza wateja kati ya elfu 5,000 na 15,000Tsh
 
kwa ujumla services zooote Tanzania ni pasua kichwa, wewe umefuatilia simbanking wiki mm nimejiachia
Hii benki mwanzoni nilikuwa nikisiakia watu wanailaumu naona kama ni majungu ila nimekuja kuprove kwamba CRDB huduma zao sio nzuri kabisa, Nimefuatilia ishu ya simu benking wiki nzima sasa na wakati najaza fomu niliambiwa ni masaa 48 na kibaya zaidi ni uongo wa wafanya kazi wao kila kitu wanasingizia systeam ilikuwa mbovu, hata kalamu ikiisha wao ni systeam ilikuwa mbovu.

Unajaza fomu wanapoteza inabidi tena ujaze upya fomu, kwa kweli wajirekebishe.
 
Tangu nianze kuisikia CRDB Mkurugenzi ni KIMEI, huenda wanahitaji mabadiliko ya kifikra, kiuongozi na kiutendaji
 
laiti ungalijua kwamba simbanking ni indicator ya punguzo la wafanyakazi ndio maana wanaifanya iwe complex
 
nadhani huyo anasaidia sana, binafsi nilianza kufuatilia NBc udsm wakasumbua hadi nikahamia CRDB
NBC Mtwara kuna jamaa ana barua za serikali za mitaa humo ndani. Ukitaka kufungua akaunti pale unamuona yeye unaacha picha, majina yako na kuweka sahihi panapohusika kisha anakutumia namba yako ya akaunti kwa sms. Huyu jamaa anamtumia sana mlinzi wa mle ndani kufanikisha dili zake. Ktk zoezi la uhakiki wa taarifa za wateja jamaa alikuwa anatoza wateja kati ya elfu 5,000 na 15,000Tsh
 
CRDBBANK kuangalia salio pale counter kwa sasa wanatoza tsh 500 sijaju sababu kubwa no nini wadau ?????????????????
 
Simbanking inasumbua sana ukitaka kufanya transaction inagoma na vocha unaliwa kama kawaida. alafu gharama zao zimeongezeka.
 
I

Wana dharau
Wadokozi -
Very slow
Walarushwa hasa wale Wa mikopo
Jeuri sana hawajali Wateja
Hawana supervisors kuweka mambo sawa kama kusimamia Huduma kwa Wateja ,
Unachukua namba lakini unakuta mwenzio kachelewa we kwenye foleni, mtu mmoja anaamua anabeba Pesa za watu 5 waliochelewa zaid yako unaendelea
Kusotaaa 😡😡😡
vyumba kuhudumia 8 lakini wanaohudumia waNaotoa /kuweka 2 tu

Wamelewa sifa wanavurunda na viti vyenyewe vya kupumzikia hakuna doooo
Hela yangu Mwenyewe inanitesa loh

Udokozi probably ukichukua fedha wanakupa mabando ya 5000 million moja ukihesabu unakuta hamna elfu 5 au 10 kwa kila bando
 
Mi nawaona hawafai kwa hii ya sim banking. Nimefanya transaction hadi wiki nzima hawajaeffect transaction afu kwenye account yangu wamefyeka pesa. Afu sim banking ndo wimbo wao. In short ni wezi hawafai.
 
CRDB ni matatizo tu mimi walifungia ATM card yangu kufanya transactions nilipowapigia wakasema nilifanya overdraft nikamtuma mtu aniombee bank statement ikaonesha i had more than sufficient fund mtu akadeposit kiasi wanachosema kuwa nimefanya overdraft ili wakate nisipate usumbufu wa kutumia atm card yangu huku nilipo daah deni limeongezeka maradufu ukiwauliza wanakwambia ni system ndo inafanya hvyo sio wao visaving vyangu wamebaba na still na negative balance inayokuwa kila kukicha
 
Poleni sana kukwazika na Hayo yaliyowasibu..Naamini hakuna zuri lolote lisilo na kasoro ndogo ndogo,,inshu ya foleni ni rahisi sana kuikwamua, sasa hivi unaweza weka au kutoa hela kupitia FAHARI HUDUMA ni mawakala wa CRDB au ufike kwenye matawi ambayo hamna foleni. Ushauri wangu mjiunge na simbanking ni nzuri sana ipo safe na inarahisisha sana maisha, mtu anayeitumia simbanking sio rahisi umsikie akisema foleni bank,, jiungeni na hamtajutia,, na mtaendelea kuipenda benki ya crdb kama wengine.
 
Hii benki mwanzoni nilikuwa nikisiakia watu wanailaumu naona kama ni majungu ila nimekuja kuprove kwamba CRDB huduma zao sio nzuri kabisa, Nimefuatilia ishu ya simu benking wiki nzima sasa na wakati najaza fomu niliambiwa ni masaa 48 na kibaya zaidi ni uongo wa wafanya kazi wao kila kitu wanasingizia systeam ilikuwa mbovu, hata kalamu ikiisha wao ni systeam ilikuwa mbovu.

Unajaza fomu wanapoteza inabidi tena ujaze upya fomu, kwa kweli wajirekebishe.

Wanatengeneza ATM card kwa material yasio na kiwango, ikipasuka iliupate nyingine unalipa elfu 20,000/= ma teller hawajali wateja wanapiga story tu, sikumoja nilimuuliza teller mbona mnapiga story wakati wa kazi hadimnajisahau, akanijibu aah wateja tumesha wazoeanyinyi kaziyenu kulala mika tu.
 
Back
Top Bottom