kitomondo1
Member
- Oct 2, 2014
- 98
- 18
Kiufupi bank ya crdb wafanyakaz wake wavivu sana na wanapenda sana kusingizia system hasa mkoa wa tanga kwa sisi acount zetu tulifungulia mkoa mgine wanatupa tabu sana ukienda kutoa hela utawekwa wee unaambiwa subir tutume fax watujibu ulikofunguliwa mara wanakuambia leta elf 4 ya fax yaan ni upuuz mtupu