Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,084
- 8,366
Hii Benki kwakweli inakatisha tamaaa sana.
Hii Benki kwakweli inakatisha tamaaa sana.
Kila maboresho kuna makato? Ndivyo walivyosema?Kuna watu ni wajinga sana wanadhani bank hakuna makato. Kumbuka kila mwezi kuna makata sio chini ya 4000, kumbuka kila mwaka kuna makato ya kadi sio chini ya 11000 kumbuka kila maboresho kuna makato , kumbuka kila ukiangalia salio kuna makato , sasa unakuta mtu kaweka laki mwaka mzima utaikuta?
Mimi ni sreenshot inakuwa gizaNimeweza hivyo hivyo nilivyoweza.
Kwani vipi, haiwezekani?
Twiga Bancorp ilifilisiwa na Fisadi mkuu hivo hivoNiliamisha pesa zangu zote kwa mbinde
Hii bank inaenda kufilisika soon
Maana mafisadi ndio walikuwa wanaibeba hii bank
Kwa nini watu hawatoi pesa zao CRDB?Hivi hii benki imekuwaje siku hizi?
Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao.
Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01.
View attachment 3484722
Acheni kucheza na hela za watu bana.
Rudisheni hela za wote mliowaibia.
Mnachofanya ni wizi wa wazi wazi kabisa na hamuwezi tena kusingizia sijui maboresho au ushuzi mwingine wowote ule.
Rudisheni haraka hela za watu la sivyo mnajitakia mabaya tu.
Mbwa nyie.
🖕
ChaiHivi hii benki imekuwaje siku hizi?