CRDB hii siyo haki. Ndo mambo gani haya?

CRDB hii siyo haki. Ndo mambo gani haya?

Labda ni suala la simu na simu nisibishe, simu yangu ap ya crdb na nmb hazikubali
Kwangu inakubali vizuri tu.

Ila kama haipaswi kuwa screenshotted kwa sababu za kiusalama na faragha, basi wamefeli sana.

Muda wa bank run umewadia sasa maana si salama tena kuweka fedha huko.
 
Hivi hii benki imekuwaje siku hizi?

Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao.

Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01.

View attachment 3484722

Acheni kucheza na hela za watu bana.

Rudisheni hela za wote mliowaibia.

Mnachofanya ni wizi wa wazi wazi kabisa na hamuwezi tena kusingizia sijui maboresho au ushuzi mwingine wowote ule.

Rudisheni haraka hela za watu la sivyo mnajitakia mabaya tu.

Mbwa nyie.

🖕
Wewe baya lolote likukute maana unasifia sana uozo wa sisiem
 
Hivi hii benki imekuwaje siku hizi?

Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao.

Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01.

View attachment 3484722

Acheni kucheza na hela za watu bana.

Rudisheni hela za wote mliowaibia.

Mnachofanya ni wizi wa wazi wazi kabisa na hamuwezi tena kusingizia sijui maboresho au ushuzi mwingine wowote ule.

Rudisheni haraka hela za watu la sivyo mnajitakia mabaya tu.

Mbwa nyie.

🖕
Mkuu mwambie Capt. Tesha atakusaidia
 
Kuna watu ni wajinga sana wanadhani bank hakuna makato. Kumbuka kila mwezi kuna makata sio chini ya 4000, kumbuka kila mwaka kuna makato ya kadi sio chini ya 11000 kumbuka kila maboresho kuna makato , kumbuka kila ukiangalia salio kuna makato , sasa unakuta mtu kaweka laki mwaka mzima utaikuta?
 
Yaani wao wakiboresha app yao wanakukata wewe? Wtf!

Halafu hayo makato unayoyazungumzia huwa yapo kwenye mini statements zao.

Hapa najua ninachokizungumzia.
 
Yaani wao wakiboresha app yao wanakukata wewe? Wtf!

Halafu hayo makato unayoyazungumzia huwa yapo kwenye mini statements zao.

Hapa najua ninachokizungumzia.
Ndio hivyo hata app ikiboreshwa lazima makato yapite na kwako
 
Usijali hela yako imetumika kugharamia kampeni za chama chako pendwa

Mama Hoyeee
 
Ap ya crdb hauwezi kuscreenshot kwa sababu za kiusalama, najiuliza simu yako ni simu gani au ap yako ya simbanking umedownload kutoka kwenye source ipi sina majibu,
Na wewe pia jiulize hilo
Upo sahihi
 
Usijali hela yako imetumika kugharamia kampeni za chama chako pendwa

Mama Hoyeee
Leo kampeni wapi mboni kumetulia km hakuna kampeni za uchaguzi nini kimetokea?
 
Back
Top Bottom