Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,231
- 55,476
Haina noma mzee!Utaenda kuwauliza wao. Siwezi kuweka mipango yangu JF.
Haina noma mzee!Utaenda kuwauliza wao. Siwezi kuweka mipango yangu JF.
Ap ya crdb hauwezi kuscreenshot kwa sababu za kiusalama, najiuliza simu yako ni simu gani au ap yako ya simbanking umedownload kutoka kwenye source ipi sina majibu,Nimeweza hivyo hivyo nilivyoweza.
Kwani vipi, haiwezekani?
Nikikwambia nitakachowafanya si watajitayarisha…Haina noma mzee!
Lakini unaweza kuipiga picha kwa simu nyingine au na hilo haliwezekaniAp ya crdb hauwezi kuscreenshot kwa sababu za kiusalama, najiuliza simu yako ni simu gani au ap yako ya simbanking umedownload kutoka kwenye source ipi sina majibu,
Na wewe pia jiulize hilo
Acha ujuaji. Hii hapa screenshot ingine dakika 4 tu zilizopita.Ap ya crdb hauwezi kuscreenshot kwa sababu za kiusalama, najiuliza simu yako ni simu gani au ap yako ya simbanking umedownload kutoka kwenye source ipi sina majibu,
Na wewe pia jiulize hilo
Inawezekana vizuri, ila hiyo picha hapo juu ya mdau ni screenshotLakini unaweza kuipiga picha kwa simu nyingine au na hilo haliwezekani
Kana unayo SimBanking hapo hebu jaribu uone kama itakataa.Lakini unaweza kuipiga picha kwa simu nyingine au na hilo haliwezekani
Huwa haikubaliNimeweza hivyo hivyo nilivyoweza.
Kwani vipi, haiwezekani?
Wewe unayo SimBanking? Jaribu uone kama itakataa.Inawezekana vizuri, ila hiyo picha hapo juu ya mdau ni screenshot
Mbona sasa hivi imekubali…..kulikoni?Huwa haikubali
Niliacha na hizo bank zamani sanaKana unayo SimBanking hapo hebu jaribu uone kama itakataa.
Mkuu hawa watu saivi wametushika pabaya na wanajua hatuna cha kufanya 'tutapiga kelele siku kadhaa tutanyamaza', Mahakama wanaicontrol wanavotaka POLICE wapo upande wao wakuu wa hizi taasisi za kifedha ni watu wao...Nikikwambia nitakachowafanya si watajitayarisha…
Majemedari huwa hawaweki hadharani mbinu zao za mapambano.
Nilitaka niongeze nguvu kuwashughulikia CRDBIli iweje?
Labda ni suala la simu na simu nisibishe, simu yangu ap ya crdb na nmb hazikubaliKana unayo SimBanking hapo hebu jaribu uone kama itakataa.
Sijajua inawezekana mifumo yao ya ulinzi wa taarifa ime collapse kweli ndo maana mnapigwa helaMbona sasa hivi imekubali…..kulikoni?