CRDB Bank

CRDB Bank

Ukosefu wa ajira unasababisha watu tunakuwa na hasira sana.

Wachaga ndivyo walivyo wanaile kitu kusaidiana wao kwa wao ndio maana utakuta kuna baadhi ya maeneo kuna maduka ya Wachaga tu na sio Kilimanjaro hadi panaitwa ''Mtaa wa Wachaga'' kwa hiyo hicho kinachotokea Crdb sio kitu cha ajabu kwani hakijaanza leo.
 
Tutakua tunakuja na mabomu huko sasa ukileta mzaha tunawalipua hii sio nchi ya amani bali woga tu
 
Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.

Sasa huyu Charles Kimei au Charles Kimeo???
Tangazeni watu tukabishane kwa hoja!!!

HUNA NIDHAMU, Ukipata ajira itakuwa matatizo pia kwa afya yako. Na unategemea mwezi wa sita uitwe crdb crdb ilihali unamkashfu MKUU.. Ukipata ajira utatukana wateja.
 
Elimu ya Tanzania bhana. Mijitu badala ya kutafuta just small capita cha laki tano au chini ya hapo aanze ujasiria mali kwa uwezo wa taaluma aliyo nayo. Yeye anafikiria kuajiriwa

Pokea like miamoja mkuu!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
umedanganya umma, niambie ni mwaka gani crdb wamefanya ivo na walichukuliwa akna nani???
Hii ni kwa nafasi za mateller, huu ni mwaka wa pili nashuhudia wakifanya hivi...mimi niliomba nikakosa ila kuna rafiki zangu wawili wako huko...sio wachaga lakini. Naona umepanic mkuu sio lazima uajriwe crdb!!
 
Siku zote chakula huwekwa mezan,ili kila mtu ale na kushiba!! Lakin tutazidiana kwenye kula,kuna atakaye kula Sana,kuna atakayekula kidogo
But ukiona mpishi kaita watu jikon kimya kimya jua kabisa huo ni uchoyo
Na ndo kinachofanyika crdb
Inaonekana kufanya kazi crdb ilikuwa ni ndoto yako toka utotoni, ila vuta subira ndoto yako itafanikiwa tu. Nina mashaka kama utafanikiwa endapo utaendelea kulalamika hivi.
 
Sijasema cv yako haina qualifications!! Unajua tuwe na akili za kiutu uzima tu
Juzi pccb walitangaza nafasi za kazi umeona madudu waliyofanya??
Wameita kwenye usaili hata watu ambao hawakuomba chance
Secondly kuna mtu anaitwa Mburahati Primary School??
Unajua kwa nini wamefanya madudu haya?
Poa usiku mwema but elewa sio mpango kabisa hapo crdb
Hujajifunza kitu mkuu, ninachokiona kwako ni kwamba karibia ukate tamaa au umekata tamaa kabisa, hili ni kosa kubwa. Lawama zako sinaashiria kukata tamaa kwako, ukiona crdb wanakubania geukia plan b songa mbele na utayafikia mafanikio yako...ila ukindelea kulaumulaumu hivi na kukosoakosoa utadhani wewe ni profesa wa kila kitu utaishia kushi kwa stress bure na kukata tamaa kabisa! But Jesus help you, just cling unto his promises!
 
Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.

Sasa huyu Charles Kimei au Charles Kimeo???
Tangazeni watu tukabishane kwa hoja!!!

nijuavyo mimi CRDB hawatangazi bali wanashauri u-upload cv yao kwenye mweb site yao, na wanachokifanya wanapitia hizo cv na wanaita kulingana na wanavyohitaji. tembelea website yao
 
nijuavyo mimi CRDB hawatangazi bali wanashauri u-upload cv yao kwenye mweb site yao, na wanachokifanya wanapitia hizo cv na wanaita kulingana na wanavyohitaji. tembelea website yao

endelea kujidanganya
 
Wakuu Mbona hamtupendi Wachagga jameni? Mara CRDB ya wachaga,,mara CHADEMA ya Wachagga na bla bla kibao,,,,,acheni unafiki,, kama wachaga tunajitahidi kupiga shule ina maana hatuna haki ya kupata hizo nafasi?? Na kuna ushahidi gani wowote kwamba wanaofanya kazi CRDB ni Wachagga watupu au 7babu tu Kimei ni Mchagga?? Tuache mambo ya kizamani,,naamini kazi zinatolewa kulingana mtu kuwa na sifa/qualification za kazi yenyewe and not otherwise!
 
Hakuna watu wanaendekeza undugunaization nchi hii kama wachaga, wapare na wahaya......but CRDB wamezidi bhana.

Board of directors tu ni tatizo kina mushi, kileo wamejazana bado haujaja chini huku.....mameneja na vitengo vingine, na kwa soko la ajira saiv lilivyokua gumu kama sio mchaga usahau kukamata kitengo CRDB.
 
Sio swala la ukubwa wa sijui hicho unachokiita Kabila, ni swala la uwezo wa kufanya kazi na Usomi, imetokea tu kwamba kwa sababu za kihistoria watu wa kutoka Mkoa wa KLM ndio waliosoma sana ukilinganisha na watu wa Mikoa mingine, yaani pengo la Kieleimu kati ya KLM na Mikoa Mingine ni kubwa sana!



Ukweli mtupu huu....
 
Mkuu sizan kama cv yako ina mvuto saana kuzidi walioomba hiyo chance!!
Nimeenda mwenyewe kwa miguu yangu miwili CRDB Azikiwe!!!
Jamaa yangu kaniambia hv,hua hawatangazi nafasi za kazi wanaitana kimya kimya
Na mwezi wa sita wanatoa chance tena!!!

hahahahaha ni kweli kijana CV yangu haizidi hata yako lakin jina langu lilikuwa suggested toka chuo.pamoja na wanafunz wenzangu wachache
Na kwa taarifa yako tu sina ndugu chuoni, CRDB wala mimi sio mchaga na sina hata rafiki mchaga na my family is jst local one frm Mbeya.
 
walikuwa wanapata majina chuoni na taarifa za wanafunzi wote zipo ARIS. kwa taatifa tu me sikuwah tuma CV bank yoyote kijana.

Acha ulongo!! So unataka niambia wanaenda chuo kucheki saris au aris za watu??? Mbona ma TA wanaobaki chuo hua hawaitwi kwenda kuchapa usaili?? Sema umebahatika kua na jamaa wa kusogeza cv yako ndo unakuja kujitapa hapa!! Anyway its just a matter of time!! Yalikuwepo mashirika makubwa kama TTCL,SHIRECU,NCU,KCU,BIMA lakin leo hii yako wapi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom