- Thread starter
- #41
Anataka ukaibe
Si ndo hapo sasa!!
Anataka ukaibe
Me mmoja wao wa waliofanya hiyo interview na si mchaga.. nasikia jamaa wanafanya hivi kwenye kuajili
1.wanakusanya applications zote zilizopita halafu wakiwaita na kwenye oral interview ndio utasema unataka kitengo gani
2.wanawapa taarifa wale wote walio kwenye intern au temporary toka matawi mbalimbali ya CRDB nchin wa apply na kuitwa interview
3.wanawasiliana na vyuo mbalimbali kama wanaweza pata fresh graduates wenye ufauru wa wastani mafano GPA 3.5 mpaka 4.2 na wakipata majina na contacts zao wanawapigia na kuwaambia walete applications zao kama hawana kazi
Kwa mimi naona njia ya kwanza na ya tatu ni nzuri ila ya pili ndio inayoleta malalamiko kwan huwez jua waliopata intern au temporary job walipata kwa vigezo gani
Hao ni wale waliokuwa interns, na nafasi za kazi walitangaziwa wao tu.
Sio swala la ukubwa wa sijui hicho unachokiita Kabila, ni swala la uwezo wa kufanya kazi na Usomi, imetokea tu kwamba kwa sababu za kihistoria watu wa kutoka Mkoa wa KLM ndio waliosoma sana ukilinganisha na watu wa Mikoa mingine, yaani pengo la Kieleimu kati ya KLM na Mikoa Mingine ni kubwa sana!

and volunteerism...siku hizi watu wanaomba kujitolea. Mwajiri hawezi kukutafuta wewe fresh na amwache mfanyakazi ambaye amejitolea kwa miaka miwili na ameshajenga uzoefu. Tatizo watu mwataka ukitoka tu chuo uanze kulipwa mamilioni. Mambo yamebadilika....
Huwa wanachukua wanafunzi wa udsmSasa hata hizo interns unazipataje? wanazitangaza?
na hicho ndicho kigezo cha kijinga wanachotumia kujazana crdb..wapeni tume ya ajira au taasii nyingine tenda ya kufanya usaili kama hujaona makabila mchanganyiko humo!
Hata wakifanya hivyo hakuna kitakachobadilika, kwani Serikali si wanafanya hivyo lkn bado Kazi nyingi zenye nafasi nzuri wanapata wa kutoka au waliosoma KLM, na sababu ni hiyo hiyo tu, na ukitaka kulijua hilo nenda UN Nairobi au SADC au Umoja wa Afrika na kaangalie Watz wanaofanya kazi huko zaidi ya 3/4 wanatoka au wamesomea KLM, kingine pia angalia hapa Dar tafuta wanaume watatu wowote unaowajua ambao wanataka kuoa haijalishi wanatokea Mkoa gani utakuta kwamba lazima Mmoja wao Mke wake anatoka KLM, sasa ni kwa nini?
Ni kwamba Mkoa wa KLM kwa sababu za kihistoria umewekeza kwenye Elimu tangu wakati wa Mkoloni ndio sababu kubwa, hata wewe leo hii ukifungua Kampuni na unatafuta Wafanyakazi utaliona hilo hata wauza stationery tu utajikuta ktk watu watatu watakao omba kazi na wenye vigezo lazima mmoja wao atakuwa ametoka au amesoma KLM!
Siungi mkono Huu upuuzi

Crdb= Chaga and rular development bank!!
Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.
Sasa huyu Charles Kimei au Charles Kimeo???
Tangazeni watu tukabishane kwa hoja!!!
Hata wakifanya hivyo hakuna kitakachobadilika, kwani Serikali si wanafanya hivyo lkn bado Kazi nyingi zenye nafasi nzuri wanapata wa kutoka au waliosoma KLM, na sababu ni hiyo hiyo tu, na ukitaka kulijua hilo nenda UN Nairobi au SADC au Umoja wa Afrika na kaangalie Watz wanaofanya kazi huko zaidi ya 3/4 wanatoka au wamesomea KLM, kingine pia angalia hapa Dar tafuta wanaume watatu wowote unaowajua ambao wanataka kuoa haijalishi wanatokea Mkoa gani utakuta kwamba lazima Mmoja wao Mke wake anatoka KLM, sasa ni kwa nini?
Ni kwamba Mkoa wa KLM kwa sababu za kihistoria umewekeza kwenye Elimu tangu wakati wa Mkoloni ndio sababu kubwa, hata wewe leo hii ukifungua Kampuni na unatafuta Wafanyakazi utaliona hilo hata wauza stationery tu utajikuta ktk watu watatu watakao omba kazi na wenye vigezo lazima mmoja wao atakuwa ametoka au amesoma KLM!
Nami nilioa huko huko!!!! Nilisoma huko miaka ile tukiwa tunapelekwa shule za mbali za serikali. Nikawenga lengo ni lazima nioe mchaga na faida nimezipata!! Sijutii mimi na wazee wangu na ndugu zangu!!! Wakati ule walishangaa ni kwa nini sikuoa kijijini kwetu!!! Niliwaambia nikishamuoa huyu ndipo mtagundua ni kwa nini!!!! Maswali yote kwisha na wa ukoo wangu wa karibu na marafiki walikimbilia huko huko kwa wachaga!!!!
Hapo najua hujaoa bali umeolewa angalia sana wanawake wa huko wengi ni wajane kk ukionekana kuwa na msimamo kdg juu ya mali lazima utangulie mbele ya haki!