CRDB Bank

CRDB Bank

Hakuna watu wanaendekeza undugunaization nchi hii kama wachaga, wapare na wahaya......but CRDB wamezidi bhana.

Board of directors tu ni tatizo kina mushi, kileo wamejazana bado haujaja chini huku.....mameneja na vitengo vingine, na kwa soko la ajira saiv lilivyokua gumu kama sio mchaga usahau kukamata kitengo CRDB.

Kbabake we si ulikua umelala wakati Mungu anagawa makabila??? sasa unakuja kumlaumu nani huku jamvini...mutuacheeee sawa eeh??
 
Hii ni kwa nafasi za mateller, huu ni mwaka wa pili nashuhudia wakifanya hivi...mimi niliomba nikakosa ila kuna rafiki zangu wawili wako huko...sio wachaga lakini. Naona umepanic mkuu sio lazima uajriwe crdb!!

ah ah ah mkuu, crdb nilipita uko karibia five years back na mm si mchagga, haiwagi ivo... mayb 2010 ndo walichukua madogo wa course ya banking, na mwaka2012 wali outsource ifm pia na ni banking tu. Mwaka2011 waltangaza publicly ila Tangazo lilitoka kanda ya ziwa tu na ni pale nyanza branch, mwanza, baada ya apo ayo uliyosema ni ya kwako, hawa watu siku izi hawatangazi hadharani,....... labda mambo yabadilike leo baada ya wao kusoma apa.........tusidanganye umma
 
sasa kwanini huyo jamaa yako hajakwambia hizo nafasi kabla? wewe ndio kimeo, na tena nitamtafuta kwa kutoa siri za ofisi katika kuajiri. ukiona ajira ngumu fanya siasa inalipa.
 
Usipokuwa na mtu wa kukusika mkono, huwezi pata kazi wheather you are kurya, jita, haya,chaga, pare,zaramo etc. Believe that coz thats what I SEE
 
sasa kwanini huyo jamaa yako hajakwambia hizo nafasi kabla? wewe ndio kimeo, na tena nitamtafuta kwa kutoa siri za ofisi katika kuajiri. ukiona ajira ngumu fanya siasa inalipa.

Usisumbuke nikupe no yake ya simu hadi jina lake??
 
Usipokuwa na mtu wa kukusika mkono, huwezi pata kazi wheather you are kurya, jita, haya,chaga, pare,zaramo etc. Believe that coz thats what I SEE

Mkuu we ndo umenena lakin sio hawa jamaa wanaopinga tu!!!
 
We jamaa bwana...!
Ndio nini hii sasa?

Mkuu tatxo watu wanakuja na dharau hawataki kuukubali ukweli!! Kazi hazitangazwi, wanapeana kisera, halafu mtu anakuja na kusema wanatangaza wakati,waliomo ndani wanasema kabisa mkuu hapa hutaona tangazo!! Utasikia tu watu wanafanya kazi!! Ndo maana nikatoa mfano wa hayo makampuni yako wapi?? Siombei crdb waporomoke kama hayo makampuni!!
 
Labda anadhan meli inaweza pigwa na dhoruba kisha ikazama!! Mawazo magum sana haya kama ndio hivyo.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.

Mawazo magumu kweli!! Barclay bank wapo wapi mkuu wangu! Leo kuna bank ngapi tz?? Ipo siku watafunga baadhi ya matawi na kupunguza staff, kama wamepunguza Barrick staff sembuse crdb mkuu!!!
 
Mawazo magumu kweli!! Barclay bank wapo wapi mkuu wangu! Leo kuna bank ngapi tz?? Ipo siku watafunga baadhi ya matawi na kupunguza staff, kama wamepunguza Barrick staff sembuse crdb mkuu!!!

Mkuu wangu, ziko sababu nyingi zinazoweza kusababisha kuanguka kwa taasisi au kampuni yeyote ile na haijalishi kampuni husika imedum kwa miongo mingapi, unachokifanya hapa ni kwa kuwa wewe hukupata Basi lawama na shutuma kwa CRDB.

Na niwazi kabisa uko na hisia kwamba bora matawi au the whole CRDB iporomoke kwa kufunga baadhi ya branches zake, kumbuka ungekuwa unafanya CRDB, familia inakutegemea na mambo yako yanakwenda vyema kwa sababu ya ajira yako CRDB sidhan kwamba hizo hisia ungezipa uzito kiasi hicho.

Jambo la msingi ni wewe kutokata tamaa, maadam una CV yako jitahidi kucheki na taasisi nyingine, na mwisho kabisa mwamini Mungu na utashinda, wapo wengi waliopata ajira za bila hicho kinachodaiwa sijui undugu wala ukabila, na pia wapo ambao wamepata kwa mgongo wa mjomba, network nk.

Achana na hizi mambo sijui walikuwepo Barrick na nduguze, kama binadamu tunazaliwa na kufa sembuse hizo taasisi??

Mkuu mimi kinachoniuma ni kutokutangaza hizi chance ili kila mtu aombe!!
Ndo maana kuna watu wanatuzodoa kwamba nitatoka na Lower second class au pass kabisa but kwenye life utapanga foleni na upper second class yako,kumbe walishajua kua nafasi zao zipo!!
Tatu mimi kazi ninayo but nilitaka kuchange niweze kugrow up!! Maana hapa ofisin ni shida!!
 
Mkuu nimekuelewa, usikate tamaa songa mbele.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Mungu nishike mkono mimi mja wako. maana nakukimbilia wewe nisiaibike milele kusoma nimesoma najua wewe ndie uliekuwa upande wangu maana kama si wewe nisingemaliza shule. asante kwa kunipitisha kote huko najua hata hapa utanipitisha tu, Wewe ndiwe sababu ya kila jambo hapa duaniani. Kazi nina uhakika nitapata without any lobbing. kuwa mchagga si shida. shida ni how you programing your mind set ,, stay calm all there.
 
Nlishawahi kuambiwa the same thing na mtu wa crdb. Huwa hawatangazi
 
Kuna sababu nyingi kwa nini bank hazitangazi kazi hasa nafasi za chini sababu ni kuwa ukitangaza leo kwenye gazeti ukaweka kigezo university degree bila uzoefu utapata cv elfu moja wakati unataka watu 2 kama ni wewe utawapata watu hao baada ya muda gani? kama unajiamini wewe ukiona tangazo linahitaji uzoefu sijui miaka mingapi kama una degree yako na unajiamini uko fiti tia timu ukimwaga vitu utapewa hata kazi mbadala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom