Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,242
- 14,889
Huyu ni Kimeo na sio Kimei!!!
Si atangaze?? Hv makabila makubwa kama wasukuma wangekua na crdb yao si wangejaa kila ofisi???
Sio swala la ukubwa wa sijui hicho unachokiita Kabila, ni swala la uwezo wa kufanya kazi na Usomi, imetokea tu kwamba kwa sababu za kihistoria watu wa kutoka Mkoa wa KLM ndio waliosoma sana ukilinganisha na watu wa Mikoa mingine, yaani pengo la Kieleimu kati ya KLM na Mikoa Mingine ni kubwa sana!