CRDB Bank

CRDB Bank

Mungu nishike mkono mimi mja wako. maana nakukimbilia wewe nisiaibike milele kusoma nimesoma najua wewe ndie uliekuwa upande wangu maana kama si wewe nisingemaliza shule. asante kwa kunipitisha kote huko najua hata hapa utanipitisha tu, Wewe ndiwe sababu ya kila jambo hapa duaniani. Kazi nina uhakika nitapata without any lobbing. kuwa mchagga si shida. shida ni how you programing your mind set ,, stay calm all there.


Nimeipenda hii...Mungu akatamalaki nawe kwenye safari yako.
 
Hawa wanaong'ang'ana na CRDB ni wapumbavu. Kwani Benki iko moja tu Tanzania? Nendeni Equity Bank pale mwenge mpeleke CV zenu.
 
Hawa wanaong'ang'ana na CRDB ni wapumbavu. Kwani Benki iko moja tu Tanzania? Nendeni Equity Bank pale mwenge mpeleke CV zenu.
Umeelewa topic kweli?? Kuna haja gani ya kutoa matusi?? Kwan sisi hatijui kutusi??
 
Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.

Sasa huyu Charles Kimei au Charles Kimeo???
Tangazeni watu tukabishane kwa hoja!!!
Hawa wapuuzi wachoyo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom