Hayo mambo ya CRDB benki ya wachaga sijui mnayatoa wapo. Hivi kama ikitokea tu watu wa sehemu fulani wakawa wamesoma inakua ni tatizo? Ukweli ni kwamba wachaga wengi na wasomi na wanathamini sana elimu na huo ndo ukweli. Kama we unadhani CRDB ni benki ya wachaga basi hata zile auditing firm big four kpmg, e&y, pwc na deloitte nazo pia ni za wachaga maana roughly more than 30% waliopo huko ni chaggas. Sasa na hapo utasemaje? By the way hata wewe unaehubiri ukabila, hata na wewe ungependa mtu wa kabila lako apate mafanikio. Ukabila upo popote duniani sio Tanzania tu. Kibaya zaidi kwa Tanzania hao unaodai wana ukabila wamejaaliwa na uwezo pia wa elimu, tena sana. So kwanini wasipewe nafasi? "UNLESS YOU THINK CRITICALLY, YOU WILL END UP HATING CHAGGAS"