...Utakuta mtu anapita koridoni na karatasi yake anaipekecha ili ilainike.... "pyeke pyeke pyeke..."
...Safi sana Opaque heater za spring mi nilizitumia mpaka JKT hizo na siku moja kuna afande alipokuja kuiona hiyo heater alizima fegi mwenyewe!!!!Old is Gold!!!!!!!!!!!~Ulitengeneza water heater kwa kutumia spring za vitanda. Usiku wa manane unachemsha mahindi ya shamba la shule. Container la kuchemshia mahindi ni plastic la nje la chupa ya chai iliyoondolewa flask yake, inashikiliwa upside-down, i.e mfuniko ndo unakuwa base, na bottom yake inafunguliwa kuwa ndo mdomo wa 'sufuria' lako. Heater inawekwa kwanza katikati, then mahindi yanakatwa vipande na kupangwa around the heater.
Ukimaliza kuchemsha unarudisha waya wa umeme juu ya dari ambako ndiko connection ilikofanyika, kwani ni marufuku kutumia umeme wa socket!
- Tulichanga hela na kumpa jamaa ili akatengeneze 'dawa' kwa mtaalamu ili tuweze kushinda mechi ya soka kati ya darasa letu na lingine.
Renatus wa fom 3L Azania ( group B) mwaka 93 alichukua mikate ya darasa zima kwa kujifanya yeye monita, bado namaindi sana ile siku na siku nikikutana naye ama zake ama zangu!!
...Safi sana Opaque heater za spring mi nilizitumia mpaka JKT hizo na siku moja kuna afande alipokuja kuiona hiyo heater alizima fegi mwenyewe!!!!Old is Gold!!!!!!!!!!!
ladies..... do we have any experiences to share?
Kweli maisha ya shule yanafurahisha sana..ila kuna tofauti kubwa sana kwenye uzoefu wa wanaume na wanawake...
unakumbuka kuwa na vijembe......unakuwa na ukoo hapo shule ambao mnaheshimiana kama unavyoheshimu wazazi wako na pengine hata zaidi ya siblings wako. Unakuwa na mtoto, mama, bibi, aunt and so on.
ladies..... do we have any experiences to share?
Kweli maisha ya shule yanafurahisha sana..ila kuna tofauti kubwa sana kwenye uzoefu wa wanaume na wanawake...
Nasikia kwenye shule za mashori ka mtindo ka ubrenda mlikafanya sana eeh? tupe experiences zenuladies..... do we have any experiences to share?
Kweli maisha ya shule yanafurahisha sana..ila kuna tofauti kubwa sana kwenye uzoefu wa wanaume na wanawake...
ladies..... do we have any experiences to share?
Kweli maisha ya shule yanafurahisha sana..ila kuna tofauti kubwa sana kwenye uzoefu wa wanaume na wanawake...
Wa seminari mpo? Wale wenzangu mafratera mwenzenu niliinjoi sana semirani.Siku za mwanzoni nilipata shida ya kuamka kusali na kuishi kitume hasa nilipata shida kila nikipata barua za masela wangu wakiwa wanabembea na totozi mbali mbali wakati mimi nakula bible masaa 24
Raha ilianza na nilitamani nisimalize shule sista Elimelinda aliponizimikia kazi za shambani nikawa sipangiwi wakiwa shambani ananiambia nikafute madirisha kwake basi huko huko kifuatacho ITV hata nilipomaliza nilikuwa namega kisela,siwezi kumsahau alisaidia sana semirani.
haswaaa.. tena watoto wa form one badala ya kuwaonea kama wanaume walioelezea kuwatesa njuka ...unawalea kama mdogo wako u mwanao!