Sidhani kama kuna nchi yoyote duniani ilikuwa na uwezo wa kutabiri wimbi la ugonjwa wa COVID-19, sio China, sio EU, sio USA na wala sio Africa. Kila nchi imeupokea huu ugonjwa kivyake na wala na magnitute ya huu ugonjwa haufanani kutokana nchi moja kwenda nchi nyingine. Kila nchi inajitahidi kutokana na hali ya health care system iliyopo.Mkuu umesoma bandiko langu kuelewa?
1. Bandiko langu limegawanywa sehemu mbili kuonyesha nini serikali haikufanya au haifanyi.
2. Points zile tatu ambazo serikali haikufanya zingezuia ugonjwa kuingia. Hizo hazihusiani na lockdown.
3. Nimeandika kifupi kukuonyesha kuwa lockdown si kufungiwa watu vyumbani wala watu kuhangaika ba njaa.
Labda angalia hapa lockdown ni nini:
View attachment 1426000
Acha kutetea upumbavu! Kiongozi gani anayeenda mapumzikoni wakati wa janga??mnavyomtetea sijui anawalipa nini? Na mwenzako hapo juu eti ni safe yeye kukaa Chato...huyo prince Charles mwenyewe ali test postive ndio itakua yeye???
This is not infantry war zone, wanajeshi wanapigana kwa kujipanga mistari, adui unamuona mbele yako, mashambulizi yanafanywa na askari wa mstari wa mbele wakiongozwa na Kamanda!, no!, this is invisible war fighting an invincible enemy hivyo Kamanda anaweza kuongoza mapambano remotely from an invisible location.How can we stand United as one while the ones who were suppose to lead and unite us against the disease are no where to be seen in the scene?
No 1 has isolated him self in his village.
No 2 is no where to be seen.
How can this be possible if we are realy serious in fighting against this pandemic
It's a wrong mentality kufikiri kuwa kwa vile Chato ni kwao, kwa hiyo kila akiwa Chato basi ni lazima atakuwa mapumzikoni!. No!. Wewe unaizungumzia Chato ya zamani enzi zile, hii Chato ya sasa ni Chato nyingine ina 4G internet service connectivity hivyo Kamanda waitu anaweza kuongoza mapambano remotely akiwa popote!.Acha kutetea upumbavu! Kiongozi gani anayeenda mapumzikoni wakati wa janga??mnavyomtetea sijui anawalipa nini? Na mwenzako hapo juu eti ni safe yeye kukaa Chato...huyo prince Charles mwenyewe ali test postive ndio itakua yeye???
Alafu nimeona tweet yako kuwa Marehemu Lwakatare atazikiwa na serikali.
Kama ni kweli, kwanini wanaficha?
Sidhani kama kuna nchi yoyote duniani ilikuwa na uwezo wa kutabiri wimbi la ugonjwa wa COVID-19, sio China, sio EU, sio USA na wala sio Africa. Kila nchi imeupokea huu ugonjwa kivyake na wala na magnitute ya huu ugonjwa haufanani kutokana nchi moja kwenda nchi nyingine. Kila nchi inajitahidi kutokana na hali ya health care system iliyopo.
Ukija kwenye point yako kwanini serikali haikusitisha mambo yasio ya lazima toka mwanzo. Nadhani umejionea mwenyewe kuwa hata zile nchi zilizo funga hizo shughuli, wamejikuta kama walifanya jambo ambalo halikuwa na ulazima kama vile wangelazisha watu kuvaa masks na personal hygiene. China ni moja ya hizo nchi, mwanzo na wao walijaribu kila njia walifunga kila kitu lakini speed ya kupunguzwa ugonjwa ilikuja kuoneka baada ya kulazimisha watu kuvaa mask wanapokuwa nje ya nyumba zao au wanatolewa social points.(Google Social Credit System kuilelwa zaidi). Fahamu kama ugonjwa huu unapata pale unapokuwa karibu na muathika na chembe chembe za mate yabo au makamasi yao au hata machozi yao yatakapo fanikiwa kuingia kwenye mdomo, pua au macho yako. Mask inazuia kwa asilimia kubwa.
Tanzania Corona ipo, na wengi wanatembea wakiwa nao bila ya wao kujijua wanayo, wanaambukiza wengine na wengine wanaambukiza wengine tena. Dawa ni nini wear a mask. "I wear mask to protect you, and you wear mask to protect me". Simple.
Kiongozi.Keshazikwa jana na manisipaa
Jr[emoji769]
Acha utoto huu#COVID-19: TUWAJIBISHANE
Mnamo Tarehe 28/3/2020 niliwaeleza Watanzania kuwa nimemwandikia barua Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumshauri mambo makubwa 8 ili nchi yetu iweze kukabili maambukizi ya virusi vya Korona. Tarehe 4/4/2020 Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Maalim Seif Sharif Hamad alizungumza na Wananchi kuwataka kujihadhari na virusi vya Korona. Hadi siku Mwenyekiti anazungumza Tanzania ilikuwa na wagonjwa 20 tu. Leo Tanzania ina wagonjwa 257 na Serikali imeripoti vifo vya watu 10. Kati ya Aprili 1 na Aprili 20, maambukizi yaliyotangazwa yamefikia 1,170%.
Kama Viongozi wa Upinzani nchini kwa wiki kadhaa sasa tumekuwa tunatoa ushauri kwa Viongozi wa Serikali na kuelimisha umma kudhibiti #COVID19TZA. Tumejitahidi kuunganisha Nchi yetu dhidi ya Virusi hivi. Sasa umefika wakati wa KUWAJIBISHANA.
Wakati Nchi ikiwa katika maambukizi mtu mwenye Mamlaka ya Juu kabisa katika Nchi yetu, Rais John Pombe Joseph Magufuli haonekani kuendesha mapambano kama tunavyoona kwa mataifa jirani kama Kenya, Rwanda, Uganda, Afrika Kusini nk. Mara chache ambazo Rais amejitokeza ametoa kauli zinazoonyesha kuwa COVID 19 sio tatizo na hivyo kushawishi watu kuendelea na shughuli za mikusanyiko ambazo zinakuza maambukizi. Pia tumeona Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na baadhi ya watu wa karibu na Rais wakihamasisha mikusanyiko ya watu.
Mwalimu Julius Nyerere alitafsiri Kitabu cha Shakespeare Merchants of Venice (Mabepari wa Venice). Kundi hili la Viongozi walioendelea kushawishi Watanzania kuendelea na shughuli za mikusanyiko, Mwalimu Nyerere angewaita Mabepari wa Vifo (Merchants of Deaths). #MerchantsOfDeaths ni watu ambao wakielekezwa kutofanya matendo fulani ili kuepuka maafa wao hufanya. Pia watu wenye Mamlaka ambao wanashindwa kutumia mamlaka yao kuzuia maafa. Vile vile watu wa imani ambao wanaaminisha waumini wao mambo ambayo husababisha maafa. Wanashtakika
Kutokana na maandalizi mabovu ya Serikali kwa Watumishi wa Afya - Madaktari, Manesi, Watumishi wa Maabara - maambukizi yamesambaa miongoni mwao na hata wengine kuanza kupoteza maisha. Licha ya Serikali kukusanya mabilioni ya Fedha kutoka Sekta Binafsi na yenyewe kutotenga Bajeti Maalumu ya kupambana na Korona, watumishi walio mstari wa mbele kwenye vita wanaachwa bila vifaa (PPE). Nchi yetu ipo kwenye hatari ya kupoteza wataalamu wengi wa Afya ambao wamesomeshwa kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu. Watumishi hawa pia wanahatarisha familia zao.
Namna Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyokabili mlipuko wa Korona inathibitisha kauli kuwa Tanzania imekuwa na miaka 5 ya uholela, yaani 5 Years Of Incompetence. Mgawanyo wa Kazi wakati huu umekuwa;
- Naibu Waziri Afya: kuelimisha Umma maana ya Corona na kuvaa Barakoa
- Waziri wa Afya: Kutangaza Idadi ya visa vya Corona na vifo na kuelezea maamuzi mbalimbali ya Serikali
- Waziri Mkuu: Kukusanya michango ya Wadau (Serikali yenyewe haijaweka wazi Bajeti yake ya Corona
- Makamu wa Rais: Hajulikani alipo
- Rais: Kajificha Kijijini Chato huku akitaka Wananchi waendelee kwenda Kanisani na Misikitini
Hatuwezi kuendelea namna hii huku wagonjwa wanaongezeka, Watanzania wanapoteza maisha, huduma za Afya zinazidiwa na kupoteza wataalamu muhimu na uchumi unaanguka. Itabidi kuendelea kupambana na Korona huku tunawajibishana.
Namtaka Rais Magufuli afanye yafuatayo
1. Amwagize Waziri wa Fedha kupeleka Bungeni Bajeti ya Dharura kukabiliana na Korona na baada ya Bajeti hiyo Bunge lisimamishe vikao vyake mpaka Korona itakapokomeshwa nchini. Bajeti hiyo ihakikishe Wataalamu wetu wa Afya wanapata vifaa vya kuwalinda ili kupambana na Korona
2. Ahutubie Taifa mara moja na kuwataka Wananchi kuacha shughuli zao za kila siku na kwa kutumia Sheria ya Bunge kuifunga Nchi (partial lockdown). Wananchi wasaidiwe kwa mujibu wa mapendekezo tuliyoyatoa, kila kaya ipatiwe shs 300,000
3. Kama hawezi kuyafanya haya ajiondoe madarakani ili watanzania wengine wafanye hiyo kazi ya kulinda Nchi yetu.
Mwisho nawaomba Wanasheria nchini kuandaa mashtaka ya kukusudia kuua dhidi ya watu wote ambao wametoa matamko ambayo yaliwafanya wananchi waendelee na shughuli za kuambukiza virusi vya Korona.
Imetolewa na:
Zitto Kabwe
Kiongozi wa ACT Wazalendo
21 Aprili, 2020
#RaisTokaChato
Watu wote tungelikuwa vigilant kama Zito, labda hali ingelibadilika
Hao ni CCM na ushetani waoHuyu ambaye mlimuita 'msaliti' ???
Zitto kwa kifupi unachokifanya kinaonesha dhahiri kuwa unatumia tatizo au ugonjwa wa CORONA kutaka kujipatia umaarufu wa kisiasa. Ni nani asiyejua kuwa hili ni janga la kitaifa?#COVID-19: TUWAJIBISHANE

Hatua zilizokwisha kuchukuliwa katika mapambano ya Corona zinaelekea kukwama kwa sababu wataalam wa afya hawawezi kuzuia mikusanyiko bali serikali tena mkuu wa nchi. Mizaha inayofanywa na viongozi wetu imesababisha Corona kusambaa kamo moto wa nyikani kutoka Dar hadi mikoa zaidi ya 10 hadi sasa.Mkuu Mhe. Zitto, kwenye hili, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulaumiana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane. Huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united as one and fight as one unified army against one common enemy.
Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
P
Mkuu Mhe. Zitto, kwenye hili, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulaumiana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane. Huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united as one and fight as one unified army against one common enemy.
Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
P
Bwana Pascal, kwanza kumbuka hakuna jipya chini ya jua, we have a lot more literature reviews to making references, Ndui, Spanish flu etc. How did they combat? Unless tuwe na akili za Ziada zaidi ili kuandika historia kuzizidi mbinu zilizo okoa dunia then.Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao.
Kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?
P
Africa hadi muda huu tuna case za corona 25000 kati ya hizo tanzania tuna case 254 ambayo overroll haizid hata asilimia moja ya maambukizi yalionea kwa africa nzima had sasaKama corona hajaileta yeye kaileta nan?
Alipoambiwa afunge mipaka na viwanja vya ndege toka mwanzo alikubali?
Alipoambiwa afunge bar na kumbi za starehe alikubali?
Alipoambiwa azuie mabasi ya kutoka dar kuingia mikoan alikubali??
Mpaka sasa ni hatua gani madhubuti aliyochukua???
Unapimwa leo corona mwanza unasubiri vipimo viende dar mpaka virudi ushakufa,huo si ukichaa??
Think.
Sent using Jamii Forums mobile app
zito amekaa kimaslahi ya kisiasa zaid, hana uchungu wowote na wanachiSiasa siasa siasa, kila muda ni siasa, maisha mtaishi lini?
Waache wataalamu waliobobea haya mambo wafanyekazi zao.
Copy and Paste Anti-Covid 19 Measures hit Hard East African CountriesOh yes
Africa hadi muda huu tuna case za corona 25000 kati ya hizo tanzania tuna case 254 ambayo overroll haizid hata asilimia moja ya maambukizi yalionea kwa africa nzima had sasa
wengi watasema rais amechelewa kufanya lockdown, tumeona yaliotkea kenya baada ya lockdown hao hao wanachi waligoma kukaa ndani ikasababisha hadi vifo vya watu sababu ya serikali kutumia nguvu, kama lockdown ingekuwa tanzania na hao watu wakauwawa ndo ingekuwa breaking news ya siku zote bbc london pamoja na vibaraka wao
hakuna rais ambae anapenda nchi yake iwe na majanga, yeye kichwa kinamuuma zaidi kuliko nyie ambao mmekaa mbele ya keyboard kazi yenu kubwa kulauumu huku mnakula popcorn
Una maana gani kusema safe area? Kwani kuna tishio gani dhidi yake? Ina maana mahali na ofisi yake ya serikali si salama kwake? Nani anasababisha kukosekana kwa huo usalama?Vita vinapigwana kisasa, the command post ni Chatto. Usually the command post inapaswa iwe established mahali ambapo ni safest place in the area. Safe heavens zetu kwa sasa ni Chatto.
P