Nyie endeleeni kupewa Covid na jabs ambazo hazitakuw na kikomo. California wameanza kuondoa kila takataka ya lockdown. ''UVIKO/COVID-19 utaendelea kuwa nasi kama magonjwa mengine lazima kujifunza kuishi nao.''
''Mtanikumbuka kwa mema JPM''
Time will tell. Mwanzo walisema ukishachanjwa tu basi, lakini hivi sasa wanaongelea booster ya tatu mara tutasikia ya nne na ushee ..... ..... ding .... dong!Hao unaosema wanaondoa kila takataka ya lockdown wako buzy na chanjo!
Vaccination progress data
Ati COVID ni ugonjwa kama magonjwa mengine tujifunze kuishi nao... tuishi nao kivipi?
Kalagabaho...
View attachment 1878276
Na watu bado hawashtuki. Sijui tumelishwa nini vichwani mwetu hakika.Time will tell. Mwanzo walisema ukishachanjwa tu basi, lakini hivi sasa wanaongelea booster ya tatu mara tutasikia ya nne na ushee ..... ..... ding .... dong!
Mbona hujibu swali? Tuishi nao kivipi?Time will tell. Mwanzo walisema ukishachanjwa tu basi, lakini hivi sasa wanaongelea booster ya tatu mara tutasikia ya nne na ushee ..... ..... ding .... dong!
Njoo na alternative tufanye nini.Na watu bado hawashtuki. Sijui tumelishwa nini vichwani mwetu hakika.
Leo mnataka alternatives wakati mlijinasibu kuwa na Hakika ya approach zenu? Kwanini hamkuheshimu shaka za wengine?Njoo na alternative tufanye nini.
Kwani magonjwa mengine tunaishi nayo kivipi? BTW Wapo wengi tu ambao wameshapata hiyo Covid-19 na wamepona na kupata tena huo ugonjwa na kupona. Mfano watu maarufu kama Waziri mkuu wa UK Boris Johnson.Mbona hujibu swali? Tuishi nao kivipi?
Labda kuna tafsiri mpya ya fungu la maneno la 'People fully vaccinated' .Hao unaosema wanaondoa kila takataka ya lockdown wako buzy na chanjo!
Vaccination progress data
Ati COVID ni ugonjwa kama magonjwa mengine tujifunze kuishi nao... tuishi nao kivipi?
Kalagabaho...
View attachment 1878276
Tatizo la watu kama wewe ni kwamba hata haya unayoandika yanatokana na misimamo na maoni ya baadhi ya hao hao mnaowaita mabeberu. Ungejua jinsi waliokataa chanjo wanvyopuputika huko Marekani na hasa wale waliokuwa mstari wa mbele kuhubiri upinzani dhidi ya chanjo. Siku wameelemewa wakiwa kitandani wakiteteseka na maumivu ya COVID-19 wanavyowasihi wapendwa wao wawahi chanjo walikuwa wakiikataa awali. Kama kenge mpaka damu iwatoke masikioni ndi wanajua kuna hatari mbele yao...kalaghabaho!Labda kuna tafsiri mpya ya fungu la maneno la 'People fully vaccinated' .
Unakuwaje fully vaccinated wakati huo huo unahitaji booster?
Unakuwaje fully vaccinated wakati huo huo ukitaka kwenda kuhiji Maka lazima uchanje jab fulani sio ile uliyochoma Zanzibar?
====
Binafsi nadhani, hawa jamaa wa chanjo wanachokifanya, ni kutuzidishia sisi wasi wasi kuwa ukichanja ujue wewe tayari unakuwa 'minframe computer'/machine inayoathiriwa na virusi kama aina nyingine ya virusi vya computer.
Kwamba sasa hivi kukabili variants za covid lazima ujikinge kwa ku update jab unayopewa kwa kudungwa booster ambazo ni sawa na updates/patches za ku'nip' bugs kama wafanyavyo Kaspersky, NOD3, Bit Defender, 360, na nyinginezo.
Blood system na respiratory system zako sasa ni sawa na operating system kama Window, OBUNTU, iOS, Androids nakadhalika. Kwa kifupi tunageuzwa kuwa pantented object kutoka kwenye utu wetu ama hata maeneo yetu yanakuwa patented. Ndiyo, tutaweza kufika mahali 'Jonson Jonson' anasema ili uingie Saudia uwe na chanjo yake.
Haya yote ya kufikiria hivi wanayasababisha wao watu wa chanjo kwa kuonyesha ubabaishaji na ukigeugeu usio wa msingi huku waki' violate' misingi yote ya logic na sayansi za kitabibu.
Hili halikubaliki. Wajirekebishe.
Asante sana Mkuu kwa kurejea post yangu na kuitolea maelezo.wao wawahi chanjo walikuwa wakiikataa awali. Kama kenge mpaka damu iwatoke masikioni ndi wanajua
Very powerful statement. Asante sana mkuu.Fikra za kwamba Usipofanya wafanyavyo ni kutokuwa sehemu ya dunia, ni Utumwa. Pole sana.
Tuliligundua hili mapema tukachekwa.They stop testing because there were problems with the method of testing. When a goat and engine oil tested positive, how would one know if the kits work as intended? What's the control?
Ukichanja utapata covid-19? ..... Ndiyo na itakuua.====Former US Secretary of State Colin Powell dies due to Covid-19 complications
Four-star general Colin Powell has died at the age of 84, due to complications from Covid-19. The prominent Republican had been receiving treatment at the Walter Reed National Medical Center.www.rt.com
Colin Powell, who was the first black individual to serve as US Secretary of State, died at the age of 84, his family said in a post on his Facebook page on Monday. "We have lost a remarkable and loving husband, father, grandfather and a great American," they said, adding that he was fully vaccinated against Covid-19, which eventually took his life