Sikuwa na taarifa hii. Nimerudi kwenye avatar yake ys JF ndiyo nakutana na R.I.P Mlenge. Ulazwe mahali pema peponi. Amina.R.I.P Mlenge
Haikutangazwa na uongozi, Ni jambo la kushtukiza. Apumzike kwa amaniSikuwa na taarifa hii. Nimerudi kwenye avatar yake ys JF ndiyo nakutana na R.I.P Mlenge. Ulazwe mahali pema peponi. Amina.
Ni kitambo naonaAmefariki lini?
Apumike kwa amani
Yaani Congo DRC watu wanaingia na kutoka wanavyojua wao iko salama. Maajabu haya.
Hawataki hata kuitaja Tanzania ila matendo yao ya sasa yanaonesha kuwa wametufanyia tathmini na kuona JPM alikuwa sahihi.Just like what JPM said, ''we will need to live with this disease like any other.''
Tutakukumbuka daima kwenye uhai wetu kwa kuliokoa taifa kwenye janga la Uviko, na mema yote uliyolitendea taifa hili na kulipa heshima.
Hawataki hata kuitaja Tanzania ila matendo yao ya sasa yanaonesha kuwa wametufanyia tathmini na kuona JPM alikuwa sahihi.
Bro, iangalie hii clip ya Dr. Malone (3hr long podcast) kuhusu saga yote ya covid. Huyu Dr. ndiye aliyehusika na ugunduzi wa mRNA technology miaka ya 80.Secret govt unit used ‘unethical’ fear tactics to push Covid rules compliance – media
UK MPs to probe Downing Street’s ‘nudge unit’ over concerns of ‘grossly unethical’ use of scare tactics to coerce the public, media reportswww.rt.com