Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Wadachi na Wafelmishi ni watani. Mdachi mmoja alitusimulia kuhusu Waflemishi.
Siku moja Mdachi alimkuta Mflemishi ananyunyizia majivu kwenye shamba lake huko Ubelgiji.
Mdachi akauliza, "Ni ya kazi gani hayo majivu?"
Mflemishi akajibu, "Ni ya kufukuza tembo wasije kuharibu mazao shambani."
Mdachi akasangaa, "Lakini hakuna tembo Ubelgiji!"
Mflemishi akajibu, "Bwashee, unaona kumbe majivu yanafanya kazi yake iliyokusudiwa!"
Thus endeth the today's lesson.
Thanks. But this explains what happens in Tanzania. You have health young people taking nyungu and other unproven therapies. These aren't in the risk categories. You should worry about old people and those with preexisting medical conditions.