#COVID19 COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

what's the point of collecting data if you can't share?
As a sovereign country, they have a prerogative to choose what they want to do with their data.
 
Video ambatishwa imesambaa mtandaoni. Inamuonyesha Mtu azungumzaye Kiswahili aliyeko Marekani akichangia mada ya Korona, serikali, chanjo na mengineyo.

SOURCE: Whatsapp viral video.
 
Attachments

  • BusaraKorona.mp4
    42.1 MB
They had an EUA for Chloroquine last year. Emergency Authorization and Approval are quite different. Tunasubiti waaprove kwanza ndio tutumia. Hata India nasikia wamekataa chanjo hizo mpaka zithibitishwe usalama wake.
Hiyo chanjo haiwezi kutumika nchini mpaka iwe registered kama dawa zingine. Je mamlaka zetu zinasemaje?

Huwezi kusubiri nchi fulani ifanye kazi kwa ajili yako, wewe kama Tanzania una takwimu gani kuhusu wagonjwa, ugonjwa, chanjo n.k.?

Watu wanaopinga chanjo na ambao wamepta chanjo na watoto wao wanapata chanjo za maradhi mengine ndio hao hao hawawezi kutueleza usalama wa nyungu.

Unawezaje kuhoji usalama wa vaccine bila kutueleza usalama wa nyungu? It defies every logical thinking !
 
You sound desperately wanting the wave to stay and to wreak havoc. Any news or speculation to the contrary seems to disappoint you. Kulikoni?
No thank you! I'm angst and perturbed due to the sheer volume of deaths in our country.

Sina uwezo wowote wala control yoyote ya ugonjwa wowote, nina maoni hasa kwa watu wanaopotosha

Huwezi kupotosha kuhusu vaccines, kwa wanaofahamu haya mambo si kutendea umma kwa kukaa kimya.

Huwezi kuokoteza habari za mitandaoni zisizo na ukweli za QAnon, Anti-vaxxers just to make your point. Yes you can fool yourself , that's ok.
Tusichotaka ni kudanganya watu kwamba vaccine haifai wakati huna data.

Rais wa TLS Dr Nshala kasema leo kuwa unapinga sayansi kwa sayansi si kwa hisia au siasa.

Wewe ''mlenge'' a proponent of Nyungu huwezi kutuambia inafanyaje kazi.
By the way Nyungu ya Singida ni tofauti na ya Musoma, Mtwara and Tanga

Huwezi kushindwa kutetea nyungu kwa kutafuta sababu za vaccine.

Vaccine ziruhusiwe watu wanaotaka wanunue kwa gharama zao , suala la risk/benefit ratio liachwe kwa watu wenyewe.

Tutakuwa tumetenda haki kwasababu tumetoa uhuru kwa watu kupima benefit/risk ratio ya nyungu , why not vaccine !
 
They had an EUA for Chloroquine last year. Emergency Authorization and Approval are quite different. Tunasubiti waaprove kwanza ndio tutumia. Hata India nasikia wamekataa chanjo hizo mpaka zithibitishwe usalama wake.

The point you want to prove is that they are doing all wrong. But here is the thing. Fortune always favors the braves and those who try. Continue to bash the drug and vaccine makers. But at the end of the day, they will master the science which could help beat Corona-19. Not only that, they will allocate enough resources to assist those who have contributed nothing they way they did at the beginning of the pandemic. Do you remember 24Million Euro?

With regard to India, India is one of the leading manufacturers of drugs. So India will be in the mix. As a matter of fact, she has developed her own vaccine. How about that?
 
Because the vaccine makers have nowhere made claim that their vaccines protect someone from getting sick from COVID.

Again, what is the vaccines effective rate of protection from the virus/disease?

I think you are busy entertaining yourself they way you thought Trump would have been able to overturn the presidential election results. If you want to know the efficacy of vaccine, please follow the news unbiased.
 
As a sovereign country, they have a prerogative to choose what they want to do with their data.

A sovereign country which can't meet its on obligation without international handouts.
 
No thank you! I'm angst and perturbed due to the sheer volume of deaths in our country.

Sina uwezo wowote wala control yoyote ya ugonjwa wowote, nina maoni hasa kwa watu wanaopotosha

Huwezi kupotosha kuhusu vaccines, kwa wanaofahamu haya mambo si kutendea umma kwa kukaa kimya.

Huwezi kuokoteza habari za mitandaoni zisizo na ukweli za QAnon, Anti-vaxxers just to make your point. Yes you can fool yourself , that's ok.
Tusichotaka ni kudanganya watu kwamba vaccine haifai wakati huna data.

Rais wa TLS Dr Nshala kasema leo kuwa unapinga sayansi kwa sayansi si kwa hisia au siasa.

Wewe ''mlenge'' a proponent of Nyungu huwezi kutuambia inafanyaje kazi.
By the way Nyungu ya Singida ni tofauti na ya Musoma, Mtwara and Tanga

Huwezi kushindwa kutetea nyungu kwa kutafuta sababu za vaccine.

Vaccine ziruhusiwe watu wanaotaka wanunue kwa gharama zao , suala la risk/benefit ratio liachwe kwa watu wenyewe.

Tutakuwa tumetenda haki kwasababu tumetoa uhuru kwa watu kupima benefit/risk ratio ya nyungu , why not vaccine !

The problem they think that traditional medicine, herbs or whatever you want to call them don't have safety and efficacy issues. They do.
 
Video ambatishwa imesambaa mtandaoni. Inamuonyesha Mtu azungumzaye Kiswahili aliyeko Marekani akichangia mada ya Korona, serikali, chanjo na mengineyo.

SOURCE: Whatsapp viral video.

This fellow has made his way to this debate. Here's the thing. He isn't helping anybody and probably he makes things worse. For me people who don't have expertise in medicine should shut up. It is simple as that.
 
...Fortune always favors the braves and those who try. ...
Tanzania is doing something the Sunshine State -- Florida is partly doing -- No Lockdown; Sweden is doing it too. We combine with other epidemiological approaches -- kampeni za kiafya: barakoa, nawa mikono kwa maji tiririka, epuka misongamano isiyo ya lazima. Isn't that a brave approach, amidst online hysteria from detractors with hidden agenda?

You are painting Tanzania as if strategy ya kitaifa ni wagonjwa wa korona huchukuliwa kupelekekwa kupigwa nyungu au nyumba za ibada kuombewa badala ya kutibiwa hospitali. That straw-man claim is far removed from reality on the ground.
 
This fellow has made his way to this debate.
Inasikitisha sana licha ya ukweli kuwa huko nyuma nimeeleza kwa kina vaccine zilianzaje na akina Dr Jenner and Robert K. I don't understand Mlenge hakuelewa nini ! hizi ni effort za nini? Kuna nini nyuma yake?
Here's the thing. He isn't helping anybody and probably he makes things worse. For me people who don't have expertise in medicine should shut up. It is simple as that.
Hiyo video ya #143 imetengenezwa na huyo jamaa ambaye hajui and simply stupid akaisambaza kwa kutojua madhara yake kwa watu na sasa madhara yake ni haya ya watu kusikiliza bila kutafakari.

Nitaonyesha upotoshaji ndani ya hiyo video na upotoshaji wa wanaoisambaza

Ni kweli anachosema kuwa vaccine inatengenezwa kwa virus. Kisicho cha kweli ni kuwa si kila vaccine inatengenezwa na virus hai. Kuna vaccine zinatengenezwa na toxins au stimulant zingine kutoka katika mdudu

Pili si kweli kuwa wanaingiza virus tu mwili hata kwa zile vaccine zinazokuwa live.
Virus zinazokuwa live huwa zinakuwa attenuated, hivyo kusema wanaingiza virus ni kupotosha

Dr Robert Koch ndiye aliyefanya kazi ya culture na kuweza ku isolate sehemu inayohusika na ku stimulate immunity. Kwa maana kuwa si virus mzima anasababisha immunity, ni sehemu tu.

Immunity ni tabia ya mwili kujifunza kuhusu mdudu na kutengeneza kinga.

Dr Jenner alitumia njia ya ku inoculate virus kwa watu wazima ili watengeneze immunity.

Njia hii ilikuwa na tatizo kwasababu kama immunity ni low mdudu alishambulia mwili na si kutengeneza immunity.
Hapa ndipo mwenye video anachanganya mambo

Vaccine zilitengenezwa kwa live attenuated virus kwa maana kuwa wanapunguza nguvu za virus kutoleta madhara kwa watu wenye tatizo la immunity, ili kuupa mwili namna ya kusoma virus huyo siku nyingine akiingia ashambuliwe.

Kwahiyo vaccines zilitengenezwa kwa ''live attenuated organism'' na kuna zingine walitoa sehemu tu mdudu ''toxin'' ili kusaidia immunity.

Uongo!
Vaccine ya Corona imetengenezwa kwa kuzingatia matatizo ya SARS(Rejea bandiko la Zakumi).

Wanasayansi walibaini kuwa live attenuated pamoja na kupunguzwa nguvu ya virus bado kuna tatizo kwa watu wenye immunity zenye matatizo '' Immune compromised' kama HIV , Cancer, Diabetics, na long term illness.

Ndipo ikaonekana kuna uwezekano wa kutumia RNA na kuleta immunity.

Hii ni technology mpya iliyoku in the making for the last 10 yrs, wanasayansi hakujua kutakuwa na Corona.

Hivyo mwenye video anachanganya vitu, kati ya live attenuated ambayo ni technology ya zamani na hii ya RNA ambayo ni tech mpya.

Kwa mantiki hiyo, huwezi kupata corona kwa vaccine kwasababu kinachoingizwa mwilini ni protein tu (RNA) ya virus si virus kama anavyohorojoa mleta video na wasambazaji wasiojua.
 
Tanzania is doing something the Sunshine State -- Florida is partly doing -- No Lockdown; Sweden is doing it too. We combine with other epidemiological approaches -- kampeni za kiafya: barakoa, nawa mikono kwa maji tiririka, epuka misongamano isiyo ya lazima. Isn't that a brave approach, amidst online hysteria from detractors with hidden agenda?

You are painting Tanzania as if strategy ya kitaifa ni wagonjwa wa korona huchukuliwa kupelekekwa kupigwa nyungu au nyumba za ibada kuombewa badala ya kutibiwa hospitali. That straw-man claim is far removed from reality on the ground.

I am very connected to the country and know what's going on there. The strategy was to take a bet that we could live with disease the way have lived with other diseases. And since nobody knew the characteristics of the disease, taking a bet wasn't a bad idea and it was a 50 50 proposition. If the disease hadn't reappeared, our bet would have been a stroke of the genius. As a matter of fact, it was a brilliant idea for few months until the second wave spoiled the party.

You can't compare what we have in Tanzania and what is going on in Florida or Sweden. Sweden has changed course because the herd immunity didn't work very well. With regard to Florida, that is a rogue state the way we are.

Do you know why Tanzania is called bongo land? After the Uganda war the economic situation was so bad and the government had no answer for that. So people had to improvise and use their creativities (bongo) in order to survive.

I think the same thing is happening right now. What you call a national strategy. Actually, it isn't. It's everybody for himself. Apply your survive instincts and skills and hope for the best.
 
Tanzania is doing something the Sunshine State -- Florida is partly doing -- No Lockdown; Sweden is doing it too. We combine with other epidemiological approaches -- kampeni za kiafya: barakoa, nawa mikono kwa maji tiririka, epuka misongamano isiyo ya lazima. Isn't that a brave approach, amidst online hysteria from detractors with hidden agenda?

You are painting Tanzania as if strategy ya kitaifa ni wagonjwa wa korona huchukuliwa kupelekekwa kupigwa nyungu au nyumba za ibada kuombewa badala ya kutibiwa hospitali. That straw-man claim is far removed from reality on the ground.
Uongo, Nilitumaini umejifunza kuhusu uongo wa awali, no! hii kazi unayofanya ya kuhadaa umma inalipa maana mtu mwenye moral compass na anayeona misiba ilivyojaa asingetetea unachotetea.

Hivi unataka kuwafanya Watanzania wapumbavu sana hawana masikio, hawana macho wala hawaelewi!

Unaongozaje kampeni ya kitu usichokubali uwepo wake? . Hivi si ilisemwa kwamba Tanzania haina corona

Viongozi wanogopa kuvaa barakoa na hata kusema kuna covid ni kosa .

Hivi ''changamoto ya kupumua ' ni ugonjwa gani? Sweden na Florida wana Covid
 
Pole ndugu yangu Nguruvi3, mimi nimeinua mikono. How does one argue with this...

View attachment Kupiga nyungu TZ.mp4

Fikiria mtu mzima na akili yake timamu anaanzisha mada jukwaa la GT lenye kichwa cha habari...

COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from TZ how to fight against Coronavirus?​

How does one respond? Where does one start? What does one say? Oh, I rest my case!
 
Back
Top Bottom