Course ya Bachelor of Business Administration Kwa aliyesoma HGL

Mafian cartel

JF-Expert Member
Nov 19, 2021
3,604
6,610
Natanguliza salamu kwenu wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuja kwenu wakubwa zangu kuomba ushauri na muongozo wenu juu ya hiyo course ya Bachelor of business Administration

Nilimaliza kidato cha sita mwaka Jana na kupata Division 1.9 lakini sikwenda chuo kwa sababu binafsi ila natarajia kwenda mwaka huu.

Nina passion ya biashara na familia yetu yote ni wafanya biashara hivo natamani kusomea mambo ya biashara ili hapo baadae niweze kusimamia biashara ya familia na hata kuendeleza biashara zangu nyingine huko mbeleni na nimeona course nzuri ya kusoma ni Business administration

Nahitaji kujua uzuri na ubaya wa hiyo course ukizingatia nimesoma HGL na sipo vizuri sana Kwenye mathematics lakini nipo tayari kupambana je haitonisumbua na pia ningependa kujua kama kuna course nyingine ya biashara ambayo ni nzuri itakayonifaa kuendana na combination yangu

Mawazo na ushauri wenu ni muhimu sana wakubwa zangu, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1) kusomea business administration hakukufanyi kuwa expert katika biashara (even lecturers don't own businesses, na wachache wao Wana tubiashara)

2) Umahiri katika biashara hautatokana na theories za chuoni Bali utatokana na uzoefu, uwezo wa ubongo wako kuchakata Mambo na kujifunza kila siku, uwezo wako wa ku network na watu n.k.
Binafsi sijawahi kusoma BA lakini nimonimo kwenye business hata financial reports nazichakata. Sijawahi kusoma agriculture lakini nimefuga na madawa ya kuku nikayajua na mpaka Sasa naelimisha.

Ushauri:
Mafian cartel Kama huja qualify kusomea B.A, Soma chochote hata Community Economic Development BUT weekend, free weekdays au likizo ingia kwenye family business, humo ndimo shule ilipo. From now on focus ya maisha yako iwe ni business management, achana na series.

Most importantly; kuwa na library!
 
Thanks for the advice bro nitaufanyia kazi na kuhusu qualification sifa ninazo za kusomea hiyo kozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una mpango wa kuendesha biashara za familia au zako mwenyewe ningekushaur usome Accounts, BBA wengi wanakuwa sales and marketing experts...
Lakini kama ni kuajiriwa, hiyo game ni ngumu maana hiyo ndio koz ya watu wengi mno chuo kikuu..
Mara elf usome ardhi kama unahitaj kujiajir au kuajiriwa...
It takes no degree to run a business anyway
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu ila nmesha apply chuo BBA nimekubaliwa na lengo langu kuu sio kuajiriwa ni kujiajiri mwenyewe na supervision ya family business pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natanguliza salamu kwenu wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuja kwenu wakubwa zangu kuomba ushauri na muongozo wenu juu ya hiyo course ya Bachelor of business Administration

Nilimaliza kidato cha sita mwaka Jana na kupata Division 1.9 lakini sikwenda chuo kwa sababu binafsi ila natarajia kwenda mwaka huu.

Nina passion ya biashara na familia yetu yote ni wafanya biashara hivo natamani kusomea mambo ya biashara ili hapo baadae niweze kusimamia biashara ya familia na hata kuendeleza biashara zangu nyingine huko mbeleni na nimeona course nzuri ya kusoma ni Business administration

Nahitaji kujua uzuri na ubaya wa hiyo course ukizingatia nimesoma HGL na sipo vizuri sana Kwenye mathematics lakini nipo tayari kupambana je haitonisumbua na pia ningependa kujua kama kuna course nyingine ya biashara ambayo ni nzuri itakayonifaa kuendana na combination yangu

Mawazo na ushauri wenu ni muhimu sana wakubwa zangu, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukienda mlimani sem 1 tu unafungasha virago labda uende muccobs
 
Back
Top Bottom