Msaada: Course nzuri ya kusoma upande wa uchumi

Makitathebos

New Member
Dec 26, 2022
2
0
Habari zenu.

Mimi ni Frank 23yrs old ni graduate wa Stashahada (Diploma) ya Business Administration, natarajia kuendelea na shahada (Bachelor degree)naomba ushauri wenu wakuu kwenye kuchagua kozi ambayo ni nzuri ya kuendelea nayo.

Asante sana .
 
Soma kozi kati ya hizi.

Economics, Economics and Finance, Economics and Statistics, Business Administration au Accounting
 
Back
Top Bottom