Course ya Bachelor of Business Administration Kwa aliyesoma HGL

Natanguliza salamu kwenu wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuja kwenu wakubwa zangu kuomba ushauri na muongozo wenu juu ya hiyo course ya Bachelor of business Administration

Nilimaliza kidato cha sita mwaka Jana na kupata Division 1.9 lakini sikwenda chuo kwa sababu binafsi ila natarajia kwenda mwaka huu.

Nina passion ya biashara na familia yetu yote ni wafanya biashara hivo natamani kusomea mambo ya biashara ili hapo baadae niweze kusimamia biashara ya familia na hata kuendeleza biashara zangu nyingine huko mbeleni na nimeona course nzuri ya kusoma ni Business administration

Nahitaji kujua uzuri na ubaya wa hiyo course ukizingatia nimesoma HGL na sipo vizuri sana Kwenye mathematics lakini nipo tayari kupambana je haitonisumbua na pia ningependa kujua kama kuna course nyingine ya biashara ambayo ni nzuri itakayonifaa kuendana na combination yangu

Mawazo na ushauri wenu ni muhimu sana wakubwa zangu, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesoma marketing management ndio kozi nzuri Sana ila BBA huna cha maana ina masomo mchanganyiko mno mara account, mara procurement,mara marketing ila ukiwa marketing unatulia kabisa na kitu kimoja
 
Kwani mkuu hii BBA nimeambiwa ipo ya General na specialized je ipi ni nzuri kwa maoni yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara mia uge deal na Accounting Sio BBA hata ukimaliza Kufanya CPA inakurahisishia BBA haijachimba vitu kwa ndani zaidi chukua kimoja wapo kat ya hivi Accounting, procurement,
 
Kwa D ya hesabu unaweza ukasoma vizuri tu wasikuzingue watu.Muhimu kuomba Mungu na kukaza tu.Usiwasikilize wakatisha tamaa.Na hiyo utakayosoma huko sio hesabu ya level za juu ila ni ya kukusaidia huko kwenye field yako ya BBA
Nimekuelewa mkuu nitazingatia
 
Natanguliza salamu kwenu wakuu

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuja kwenu wakubwa zangu kuomba ushauri na muongozo wenu juu ya hiyo course ya Bachelor of business Administration

Nilimaliza kidato cha sita mwaka Jana na kupata Division 1.9 lakini sikwenda chuo kwa sababu binafsi ila natarajia kwenda mwaka huu.

Nina passion ya biashara na familia yetu yote ni wafanya biashara hivo natamani kusomea mambo ya biashara ili hapo baadae niweze kusimamia biashara ya familia na hata kuendeleza biashara zangu nyingine huko mbeleni na nimeona course nzuri ya kusoma ni Business administration

Nahitaji kujua uzuri na ubaya wa hiyo course ukizingatia nimesoma HGL na sipo vizuri sana Kwenye mathematics lakini nipo tayari kupambana je haitonisumbua na pia ningependa kujua kama kuna course nyingine ya biashara ambayo ni nzuri itakayonifaa kuendana na combination yangu

Mawazo na ushauri wenu ni muhimu sana wakubwa zangu, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku mtaani ma-business administrators wengi ni la saba tu we kasome kama unapenda
 
nenda kasome. pambana business administration haina integration kiasi uogope hivyo
 
1) kusomea business administration hakukufanyi kuwa expert katika biashara (even lecturers don't own businesses, na wachache wao Wana tubiashara)

2) Umahiri katika biashara hautatokana na theories za chuoni Bali utatokana na uzoefu, uwezo wa ubongo wako kuchakata Mambo na kujifunza kila siku, uwezo wako wa ku network na watu n.k.
Binafsi sijawahi kusoma BA lakini nimonimo kwenye business hata financial reports nazichakata. Sijawahi kusoma agriculture lakini nimefuga na madawa ya kuku nikayajua na mpaka Sasa naelimisha.

Ushauri:
Mafian cartel Kama huja qualify kusomea B.A, Soma chochote hata Community Economic Development BUT weekend, free weekdays au likizo ingia kwenye family business, humo ndimo shule ilipo. From now on focus ya maisha yako iwe ni business management, achana na series.

Most importantly; kuwa na library!
Most importantly; kuwa na library!

Readers are leaders ... .

Nagongelea msumari wa pili Most important: Own a library
 
Back
Top Bottom