Ukisoma bachelor ya Account na Business Administration in Accounting kuna gepu kubwa baina ya hawa watu wawili?

walya

Member
Mar 19, 2020
62
61
samahani wadau naomba kuuliza mtu akisoma BACHELOR DEGREE OF ACCOUNTING NA BACHELOR DEGREE OF BUSINESS ADMINISTRATION IN ACCOUNTING kuna gepu kubwa baina ya hawa watu wawili
 
Sasa hujataja hata vyuo tutakusaidiaje?

Duniani kuna kozi kuu 4

1. Afya

2. Uhandisi

3. Sheria

4. Uhasibu.

So nenda kasome BACHELOR DEGREE OF ACCOUNTING achana na hiyo ingine.

NB: Tofauti ni kwamba hiyo ya mwisho utasoma baadhi ya kozi za uhasibu ila ya kwanza utasoma core kozi zote za uhasibu!
 
Nimekubali kiongozi
 
Back
Top Bottom