Course ya Bachelor of Business Administration Kwa aliyesoma HGL

Course ya Bachelor of Business Administration Kwa aliyesoma HGL

Wala usihofu kabisa BBA siyo course ngumu ki hivo binafsi nipo shule na nasoma hiyo kozi sijaona hesabu za kutisha kihivooo...npo na watu wengi wamesoma arts na hesabu hawakufaulu vizur bt wanafaulu vizur tu.
Asante kwa muongozo wako mkuu ngoja umenipa mwanga
 
Ungesoma marketing management ndio kozi nzuri Sana ila BBA huna cha maana ina masomo mchanganyiko mno mara account, mara procurement,mara marketing ila ukiwa marketing unatulia kabisa na kitu kimoja
Mkuu kati ya marketing na Accounting ipi inafanya vizur hasa katika ngazi za local government kama una experience.
 
Back
Top Bottom