Nataka msomi mwenye shahada ya chuo kikuu business administration

ngetela

Member
Joined
Oct 12, 2021
Posts
58
Reaction score
34
Mimi ni mfanyabiashara wa kawaida elimu ya kawaida sana. Nahitaji msomi mwenye shahada ya chuo kikuu business administration ili nisonge mbele kwa biashara zangu na ushauri. Aliye tayari anitafute seriously
 
Ni pm namba yako aisee.

Back
Top Bottom