Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Thats my girl! Vipi Matesha aliwahi shule?

Mamushka I will need some written explanations here.............before I change my mind!
jana tumenyakua ubingwa fidel kazima simu
 
JUMATATU YA BLUE!kwa wakwe saa 12 jioni tafadhali

nimefanyeje kwani...vile ni ofu topiki lakini si kweli??
Mimi Yeboyebo?
Hebo cheki hapa chini.......Usisahau napenda rangi nyekundu!
Pipipiiii pipiii Eeeeeeh Kidedeaaaa!

hapa kaizer ndo umemfukuza kabisaaaaaaaaaaaa
 
wats wrong B!!! Iribini b'day yake inaangukia kwenye hiyo rangi sasa yeye anatakaje red? abadili basi b'day yake

B notin' wrong, nilitaka tu uongee nikusikie sauti yako B!
 
Na bado ningali hai!😀

Halafu pearl baelezee kama tulipata jogoo na mtetea (kuku kuku jogoo jina)

B sasa apo unaharibu

🙄🙄😀

Zililowekwa Binamu, asante kwa kujali maslahi yangu apo.....ndo nikimalizia pia mazoezi ya mwisho kumkimbiza kuku wetu yule...si unakumbuka...on my way B!
Yule kuku wako kuna binamu mmoja kaja kamnyakua si unajua tena pumba na mahindi nilikuwa nampa kila siku akanona akanyakuliwa, chelewa chelewa utakuta mwana si wako.
 
Mimi Yeboyebo?
Hebo cheki hapa chini.......Usisahau napenda rangi nyekundu!
Pipipiiii pipiii Eeeeeeh Kidedeaaaa!
Pipipiiii pipiii Eeeeeeh Kidedeaaaa!
Pipipiiii pipiii Eeeeeeh Kidedeaaaa!
Pipipiiii pipiii Eeeeeeh Kidedeaaaa!
kwa mtazamo huo eeeeeeeeeeeeeeeeh duh
that z not my thing bana..................nilizani wa sisiem
 
Yule kuku wako kuna binamu mmoja kaja kamnyakua si unajua tena pumba na mahindi nilikuwa nampa kila siku akanona akanyakuliwa, chelewa chelewa utakuta mwana si wako.

mmh....mi ndo maana sikutaka kuhesabu vifaranga kabla...basi mnenepeshe yule mdogo wake eeh Binamu...du ze nidiful please nakuaminia!
 
Hahahah mmenichekesha enyi waja, mie nilitaka tu kuchangamsha jukwaa kwa sababu nimeona mnanisahau hivi hivi wakati ndio kwanza nimeturn 16 juzi!! Roho mbaya tu !
 
Nilisikia mlienda kwa shehe Yahaya.kufanya nini? au alikuwa kwenye kamati ya ufundi?
samahani kama nimewakwaza.
washabiki wa yanga ndo zenu kulia lia!hata wanao lia lia kwa mods siku zote ni washabiki wa YANGA
 
jana tumenyakua ubingwa fidel kazima simu
Yebo yebo!

hapa kaizer ndo umemfukuza kabisaaaaaaaaaaaa
Yebo yabo!

Nilisikia mlienda kwa shehe Yahaya.kufanya nini? au alikuwa kwenye kamati ya ufundi?
samahani kama nimewakwaza.
Yebo yebo!

Subirini tarehe 11 (sorry kama nimewakwaza)
Noted with many thanks and filed for future reference. Kocha wenu Shehe Yahaya amepata mbinu mpya?
 
washabiki wa yanga ndo zenu kulia lia!hata wanao lia lia kwa mods siku zote ni washabiki wa YANGA
Tafadhali nitake radhi.naanza kuhesabu 5,4.........
Mie sio Yanga,siwezi kuwa timu ya walioshindwa.Mie siku zote nakuwa timu ya washindi.Kwa kifupi hata Toto afrika wakitwaa kombe basi nitakuwa Toto afrika.
 
Hahahah mmenichekesha enyi waja, mie nilitaka tu kuchangamsha jukwaa kwa sababu nimeona mnanisahau hivi hivi wakati ndio kwanza nimeturn 16 juzi!! Roho mbaya tu !

kumbe wewe ni minor eeeh!!!
nilimkataza Masaki kukupa wachumba akang'ang'ana kukupa eti Babu kijana.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom