Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Yaani hapa mnataka kuvunja ndoa za watu (existing couples) au mnataka wale ambao bado ni singles wa-form couples. Too imaginary!!!
 
ulipewa mchumba na Masaki, ngoja niperuzi nione ni nani....

Kaizer aliwahiwa na Cheusimangala......hahaaaaa!!!

B unajua kuna WATU wana endesha magari si YAO, kadi wanakuwa nazo wengine,,,, eeh B?
 
sasa nimeelewa maana ya B!SHUKRANI SANA.msinicheke jamani hata kama ni sloo leena
 
slow learner uyo shemeji
Dk ndodi anasema dizain ya hawa walikuwa wanakunywa sana ulanzi wakati wa utotoni na wakaacha kula ugali wa ngano pyua/orijino isiyokobolewa.Na maziwa ya mama pia walikosa kwa ajili ya ulanzi.
 
B unajua kuna WATU wana endesha magari si YAO, kadi wanakuwa nazo wengine,,,, eeh B?

hahaaa sipati picha wallah!!!!

(afu B ninasinzia huku natype ujue)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom