FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
mahakamani?doing wat swty jamani?c ukuje hme plz!
JF hii bwana ...!!!muzee mwenye nyumba ameghafirika Pearl
mahakamani?doing wat swty jamani?c ukuje hme plz!
JF hii bwana ...!!!muzee mwenye nyumba ameghafirika Pearl
mmh umeniacha njia panda,nisije ota manyonya bureeeeeeeee
Pearl we mtundu bwana ndo wapi hapo Banda la Kuku??
At least nimethibitisha hommie hujambo, ngoja nirudi zangu kaunta!
Ulikuwa unafanyia wapi ze niidful? Moro au Usalule?
Tobaaaaaaaaaa umefufuka?
tulienda kutafuta kuku dom bana?
wee twin kwani mlienda na B???
Nyamayao unamfahamu unamsikia??
🙄🙄😀nyamayao wasnt me(tulienda muulize)
Binamu, welcom back, nini kujificha hivyo kwenye hayo majengo yanayojulikana na watu wengi au nguo zilikuwa zimelowekwa?????
B thibitisha hapo aliponinong'oneza tafadhali
wapwa wazima nyie?
LOL B kwa hili hii ' mahakama' haina jurisdiction!
weweeeee wewe, kwani kos alilitendeka wapi vile??? damage kiasi gani...(ngoja nimconsult Nyamayao)
ungejifanya kujua ningekusemelezea lakini wewe huwa mnyenyekevu ujue B ndo nachokupendeaga......duh...ngoja ni do ze nidful...my learned B hivi unaweza kunifanyia ivo kweli?
ungejifanya kujua ningekusemelezea lakini wewe huwa mnyenyekevu ujue B ndo nachokupendeaga......
he...eti B wanadai mi mchokozi kule kwenye sredi ya Pearl...
Uchokozaji unategemea na mchokozwaji kaka, huyu kaamua kuuona uchokozaji wako kuwa ni unyenyekevu.he...eti B wanadai mi mchokozi kule kwenye sredi ya Pearl...
hawajakufahamu hao....mi niliona nikaacha tu.....
Uchokozaji unategemea na mchokozwaji kaka, huyu kaamua kuuona uchokozaji wako kuwa ni unyenyekevu.
Hakuna mbya!!
Uchokozaji unategemea na mchokozwaji kaka, huyu kaamua kuuona uchokozaji wako kuwa ni unyenyekevu.
Hakuna mbya!!
Kanikanushie basi B? (hata kama fee itakuwepo usijali)