Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

kumbe wewe ni monor eeeh!!!
nilimkataza Masaki kukupa wachumba akang'ang'ana kukupa eti Babu kijana.....
Babu kijana? hata hajatulia.Kwa heshima za MJ1 naona Semenya atamfaa,si yupo singo yule?
 
Tafadhali nitake radhi.naanza kuhesabu 5,4.........
Mie sio Yanga,siwezi kuwa timu ya walioshindwa.Mie siku zote nakuwa timu ya washindi.Kwa kifupi hata Toto afrika wakitwaa kombe basi nitakuwa Toto afrika.
That means kwa sasa: CHARITY ni Oooh Kidedeaaa!
 
Babu kijana? hata hajatulia.Kwa heshima za MJ1 naona Semenya atamfaa,si yupo singo yule?

aaaah bana Nyani Ngabu........ni shemeji yangu yule

hee babu kijana ndo nani tena bht?? Huyu masaki ni mchokodhi sana huyu!!

eeeh mwaya tena mi nikamkataza nikamwambia mtu mwenyewe anavuta cigars hivo MJ1 yuko delicate and frigile....yeye akasema huyo huyo....
 
Tafadhali nitake radhi.naanza kuhesabu 5,4.........
Mie sio Yanga,siwezi kuwa timu ya walioshindwa.Mie siku zote nakuwa timu ya washindi.Kwa kifupi hata Toto afrika wakitwaa kombe basi nitakuwa Toto afrika.
WE CHARITY WEWEE....!haya bana
 
mmh....mi ndo maana sikutaka kuhesabu vifaranga kabla...basi mnenepeshe yule mdogo wake eeh Binamu...du ze nidiful please nakuaminia!
Nitapitia jioni nichukue hela ya matumizi alafu nimlable kabisa ili asinyakuliwe na mabinamuz.
 
aaaah bana Nyani Ngabu........ni shemeji yangu yule

eeeh mwaya tena mi nikamkataza nikamwambia mtu mwenyewe anavuta cigars hivo MJ1 yuko delicate and frigile....yeye akasema huyo huyo....
bht shauri yako.NN yule hataki kapo.utapata mada kesi bure hapa.stuka.
 
Hizi rangi nyekundu na yebo yebo what does they stand for, thanks in advance sore kama nitawakwaza.
 
hahahaha si bure darl kuna mkono wa mtu kakangu!! nyamayao yu wapi?

Yupo luv, kuna kale kamziwanda ketu kana mafua mafua ndo kakapeleka pistali, ila amesema upitie hapa nyumbani unigee ule mzigo kabla hajarudi🙄
 
Hujanitaka radhi bado ujue? 4,3..........
Ukitaka gonga senks badala yake.Na utambue alama za nyakati,sasa hivi ni kipindi cha miaka 15 baada ya beijing.
nimekugongea senksi mama!maisha yaendelee...!enhee MAN CITY SASA
 
bht shauri yako.NN yule hataki kapo.utapata mada kesi bure hapa.stuka.

hahaa shem wangu sikuhizi najitahidi kumlainisha juzi alinipa ruhusa nimtafutie watakae endana nae, huoni MJ1 atalipa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom