Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

hahaa shem wangu sikuhizi najitahidi kumlainisha juzi alinipa ruhusa nimtafutie watakae endana nae, huoni MJ1 atalipa??

B mbona unaingia ndani sana hadi unanikwaza?
 
Yupo luv, kuna kale kamziwanda ketu kana mafua mafua ndo kakapeleka pistali, ila amesema upitie hapa nyumbani unigee ule mzigo kabla hajarudi🙄
Hehehe! Hommie on the making! Mjukuu stuka!!!!

Nitapitia jioni nichukue hela ya matumizi alafu nimlable kabisa ili asinyakuliwe na mabinamuz.
Mshiki unataka kuwa raia wa South Africa?
 
B mbona unaingia ndani sana hadi unanikwaza?

B utanisamehe lakini ujue najli maslahi ya hawa chapa ng'ombe pia.....B kaniteka mpaka akili mtoto wa mwanaume mwenzie loh!!!
 
Mshiki unataka kuwa raia wa South Africa?[/QUOTE]

Wanatokaje hawa raia???
 
Dah! Anaziruka kama hazioni vile. Lakini ukweli utabakia palepale......

Hiyo needful imenikosti ndovu tatu za baridi pale Mkuu sorry Rombo!


hahaha, hommie najua uta do ze nidiful tu!
 
yeah leo nimevaa shati la uji uji na bagi, utaniona tu binamu......ila katika nilivovaa hakuna nyekundu
Swadakta, mie nitakuwa nimesuka twende kilioni na nimepiga nyekundu kuanzi blauzi mpaka kiatu that will be me.
 
Swadakta, mie nitakuwa nimesuka twende kilioni na nimepiga nyekundu kuanzi blauzi mpaka kiatu that will be me.
Hiyo nyekundu utamfanya hommie asitokee. Upitie nikupe na raba za DH umalizie mchezo kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom