FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
JF kweli kisima cha burudani hahahahaHa ha haa! Totoz zinajaza PM box yangu nataka nimwambie Mkulu Invisle anisaidie ku black list id za Totoz za JF
JF kweli kisima cha burudani hahahahaHa ha haa! Totoz zinajaza PM box yangu nataka nimwambie Mkulu Invisle anisaidie ku black list id za Totoz za JF
sawa tu ka invizibo jr. katatesa ile mbaya!!!we bht, mkimwita mtoto invisibo katakuwa kiwembe hako,
katakuwa kanapitia vibinti vya watu, before they know it, kanakuwa kameshapitia.
Mungu akasema, sio vizuri huyu mtu kuwa peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. ....tumefanana lakini ni msaidizi wangu mbishieni Mungu basi, kwa sababu nyie wabishi sana
Toba yailah Wataka Server Ban weye
Invizibo na Bht!
Hehehe! Ngoja na mimi ni do the needful.
Saizi ndio nimejua leo ni weekend.
Hivi kuna mtu kanionea Charity wangu leo? Najisikia kupumua kwa kasi leo.
He! We tutukane tu, sisi tunakusamehe lakini.JF kweli kisima cha majinga hahahaha
Alikuwepo humu sasa kama humuoni inabidi leo uka block Gesti zote za Sinza, watu watakuwa washajibebea tayari LoL
He! We tutukane tu, sisi tunakusamehe lakini.
Hahahaha! Dah! Fidel alikuwepo? Atakuwa yeye tu!Alikuwepo humu sasa kama humuoni inabidi leo uka block Gesti zote za Sinza, watu watakuwa washajibebea tayari LoL
sawa tu ka invizibo jr. katatesa ile mbaya!!!
hivi kwa nini huwa mnaona poa tu kama vitoto vya kiume vikipiga gemu lakini vitoto vya kike vikianza kuota nanihii.....ile inayotingishikaga kwa nyuma huwa mnaanza kuweka masharti magumu kwenye ratiba zake?
dah mseminarist is not in love!! tehe tehe!QUOTE]
He! We tutukane tu, sisi tunakusamehe lakini.
alichukuliwa na the icu guy!!!!
:d:d:d!!!!!!lakini icu anaenda kuchunwa tu usijali
you are the ginesi..oh i mean geniusnani anastahili server ban hapo???
you are the ginesi..oh i mean genius
:d:d:d!!!!!!
hadanganywi mtu leo hapa.....we edit too
Inaelekea jana sikujidunga na alkoholi ya kutosha!We Mpakazie tu FL1 nasikia ana uhusiano wa Kiushemeji na Yule Mzee Maarufu mbeba Jembe Shingoni, siku hizi ana Mkwaju wa Kuwacharaza vijana Watukutu
JF siku hizi imebadilika sana....
umenikumbusha watu wangu wa Mb..u huwa wanpenda sana hii kinywaji, utasikia, lete ginesi na koka! I miss Qwayu, Eri, Mari, Kameyu,hehee gines??? mida inahusu hapo!!!
Inaelekea jana sikujidunga na alkoholi ya kutosha!
Najaribu kuimagine:
Kama avatar zingekuwa ndiyo real picture za wahusika.
Ningemwonea wivu sana mwanakijiji wakati nikiwa namsikitikia FL1.