Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Ulishawahi fanya kazi Urafiki? kama siyo hayo maneno wakiyaona unaweza pata dili.

Chana nywele hata kama una kipara!

ha ha ha......hapa ndio huwa nakunaniliu kaka yangu...pata coke I mean valuu kwa bili yangu
 
Ulishawahi fanya kazi Urafiki? kama siyo hayo maneno wakiyaona unaweza pata dili.

Chana nywele hata kama una kipara!
you can say that again biggy....

hee kumbe B kipaji....
 
Kila navyoendelea kusoma hii post naona mabinamu mifuko imetoboka eeh?poleni weekend spesho
 
Kila navyoendelea kusoma hii post naona mabinamu mifuko imetoboka eeh?poleni weekend spesho
HAKYANANI, hawa leo wako bila-bila!
XPIN HERE-This tym?...huh!
Hivi leo tarehe ngapi mwenye jibu😕
 
Hivi kwani kunywa supu ni lazima uwe ulifakamia bia?
Mbona mi hata nikipiga MALTA ni lazima supu asubuhi😡
yani PJ unaweza toka asubuhi asubuhi unawahi Keni bar au Florida kuwahi supu huku jana yake uliweka nanihii aka Malta?

kama ulikamata malta, unatakiwa unywe uji wa ulezi kabisa asubuhi, ndo vinafanana
 
Bao moja mpira wa nini?

icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
 
HAKYANANI, hawa leo wako bila-bila!
XPIN HERE-This tym?...huh!
Hivi leo tarehe ngapi mwenye jibu😕

Aaah umeme wa mgao kwa hiyo bia bado hazipata ubaridi wa kutosha! Tunavuta muda!
icon10.gif
 
yani PJ unaweza toka asubuhi asubuhi unawahi Keni bar au Florida kuwahi supu huku jana yake uliweka nanihii aka Malta?

kama ulikamata malta, unatakiwa unywe uji wa ulezi kabisa asubuhi, ndo vinafanana

Hakuna hii maneno mkuu, mi napiga supu kama juzi tu!
Nani aliyekwambia MALTA inakwenda na uji!---Mkuu wacha kudhalilisha vinywaji vya wenzio bana!...Mi nikipiga Malta 3 naanza kupoteza mawasiliano!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom