Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

na hili Joto nendeni mkapate maji ya kunywa kidogo ndo mrudi ...mie nimeshindwa kuikamata nimejibrekisha kidogo ..nitafanya mapitio nikiwa nimejipumzisha akili imetulia ......
Hofu na mashaka kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.......
nani mimi au......?mmh dear
 
mie na wangu tulikutana humu humu JF, hatuna mtoto yet but we are still members, tukipata mtoto tutamtunuku jina la Invisibo.....
we bht, mkimwita mtoto invisibo katakuwa kiwembe hako,
katakuwa kanapitia vibinti vya watu, before they know it, kanakuwa kameshapitia.
 
na kusudi lake ili tumche yeye
Mungu akasema, sio vizuri huyu mtu kuwa peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. ....tumefanana lakini ni msaidizi wangu mbishieni Mungu basi, kwa sababu nyie wabishi sana
 
Jamani hebu punguzeni spidi ya hii sredi. Mi bado kujua kinachoendelea hapa! LOLZ
 
Jamani hebu punguzeni spidi ya hii sredi. Mi bado kujua kinachoendelea hapa! LOLZ

kinachoendelea hapa ni kuwa eti wanasema wewe ni mchumba wake cheusimangala...sisi tumewaambia sio hawataki kusikia
 
kinachoendelea hapa ni kuwa eti wanasema wewe ni mchumba wake cheusimangala...sisi tumewaambia sio hawataki kusikia

Hahaha!
Ngoja niende kwenye sred ya pearl nione wasifu wa cheusi mangala.
You never know mipango ya Mungu..................!
 
We ndege huwezi pata mchumba humu mpaka ubadili hiyo avatar yako!LOLZ!

Ha ha haa! Totoz zinajaza PM box yangu nataka nimwambie Mkulu Invisle anisaidie ku black list id za Totoz za JF
 
kinachoendelea hapa ni kuwa eti wanasema wewe ni mchumba wake cheusimangala...sisi tumewaambia sio hawataki kusikia
Vipi ule uvumi kuwa we ni mchumba wa BWAWA wanasemaje? 😀😀😀
 
Ha ha haa! Totoz zinajaza PM box yangu nataka nimwambie Mkulu Invisle anisaidie ku black list id za Totoz za JF
Hahaha! Nimekuelewa hapo kwenye red!
Katika foleni ya hizo PM kuna ambayo imepotea njia? manake watu wanafikiri BWABWA ni dume.😀😀😀!!!
 
Hahaha! Nimekuelewa hapo kwenye red!
Katika foleni ya hizo PM kuna ambayo imepotea njia? manake watu wanafikiri BWABWA ni dume.😀😀😀!!!

Hiyo ID tayari nimeitupia kwenye Ignore List teh teh teh
 
Hiyo ID tayari nimeitupia kwenye Ignore List teh teh teh

Hehehe! Ngoja na mimi ni do the needful.
Saizi ndio nimejua leo ni weekend.
Hivi kuna mtu kanionea Charity wangu leo? Najisikia kupumua kwa kasi leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom