Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,631
shemeji kwa uzuri au ubaya??
Kwa kweli hata sijui....lakini nachojua imebadilika sana.
shemeji kwa uzuri au ubaya??
greti sinkaz mkuu!JF siku hizi imebadilika sana....yaani kila kukicha kuna vijimambo vipya tu...
Ngoja ni do the needful na Invizibo alibadilishe rangi hili jukwaa.Kwa kweli hata sijui....lakini nachojua imebadilika sana.
greti sinkaz mkuu!
karibu, ndo umeaka! huwa unaamka exactly at : kamili kila siku
greti sinkaz mkuu!
karibu, ndo umeaka! huwa unaamka exactly at : kamili kila siku
Ngoja ni do the needful na Invizibo alibadilishe rangi hili jukwaa.
yeah
@shemeji NN did you sleep well?
liwe la urujuani au rangi gani?
Rangi ya urojo!liwe la urujuani au rangi gani?
Asante mkuu, duh! mi nikiamka napata vitu fresh........muhindi wa kuchemsha fresh kutoka shambani, mhogo wa kuchemsha kipande kimoja,Oh yeah...ndo nimeamka mwenzio hapa....nakula cerial...karibu....
Oh yeah nimelala kama mtoto shem....Wikendi ndio nshaianza mwenzio. Bala mzima lakini?
Asante mkuu, duh! mi nikiamka napata vitu fresh........muhindi wa kuchemsha fresh kutoka shambani, mhogo wa kuchemsha kipande kimoja,
na gahawa kaaaavuuu ilotiwa pegi mbili za wiski au gin.
mmmh!Rangi ya urojo!
Hehehe! So you think I can't read between them lines?mmmh!
kama atahitaji kununua rangi naomba umuunganishe na mimi mkuu!
nina rangi aina zote na bei nafuu duani kwangu
huzurungi......(haaaa hivi hizo ni rangi gani tena wa kwetu??)
Hivi vikorombwezo situmii mkuu. tam tam no!Vipi, kashata na ufuta unatumia?
mkuu kama mbuyu kuukumbatia huwezi si afadhali kuuzunguka??!!Hehehe! So you think I can't read between them lines?
Ngoja nirudi PM naona unanizunguka wewe!
Ulishawahi fanya kazi Urafiki? kama siyo hayo maneno wakiyaona unaweza pata dili.mkuu kama mbuyu kuukumbatia huwezi si afadhali kuuzunguka??!!