Couples za JF ni hizi...!

Pooole Akili Pole, Pooole Akili Pole
 
shem hivi kile kiapo umekiona lakini???

sasa ya nini nishtuke wakati najua twin anamrusha jamaa roho tu ....EASY!!!
 
Hahahahah! Fidel naona una utani...Semenya umemtoa wapi? Mimi nimepewa Binti Maringo bana!

Hehehehe Semenya ndo saizi yako watu hawajui bana couple mm nasema Semenya ndo mnaendana kama bht na Nguli huyo B sio saizi yake kabisa.
 
sasa unakwazika nn?hujui ukipenda boga?fata nyuki upate manundu
Sijamkataa, ila nimeomba CV yake Pearl akasema eti natakiwa nikiwa nae nivae kigoloko wenyewe wanaita ''bring bring'' kama wazee wa ngwasuma. Nikakwazika!
 
Mimi naombeni kumpata Charity

hapo utahamia kinondoni makaburini AKA mwembe jini, maana status yako itabadilishwa kabisa

huyo ni wifi yangu usimguse utachomwa kisu cha tumbo
penda maisha, leave Charity alone baba......!!!
 
Hehehehe Semenya ndo saizi yako watu hawajui bana couple mm nasema Semenya ndo mnaendana kama bht na Nguli huyo B sio saizi yake kabisa.

Fide you can do anything to destory my happiness.....hayo ya kale na Nguli umeyafufulia wapi au ndo unamtaarifu Bala??

Masaki stick to BM!!!
 
Usizamishe meli ya wenzio mwaya!
Iache ielee. Usione vyaelea, vimeundwa!..huh!
 
wewe binti hujatulia kabisa
 
Wewe huna chako.Pearl kasema wazi kuwa kakuacha Solemba.Nadhani uwe mpole tu Pearl hataki walokole kama wewe.anataka wanywa valuu na wadumisha mila.
 
hapo utahamia kinondoni makaburini AKA mwembe jini, maana status yako itabadilishwa kabisa

huyo ni wifi yangu usimguse utachomwa kisu cha tumbo
penda maisha, leave Charity alone baba......!!!
Ngoja aamue mwenyewe bana bht inawezekana kaka yako amesha-bug step, ngoja nikaoongee naye faragha(PM) then utaona mwenyewe atakavyojibu
 
Fide you can do anything to destory my happiness.....hayo ya kale na Nguli umeyafufulia wapi au ndo unamtaarifu Bala??

Masaki stick to BM!!!

Hivi kuonja inaruhusiwa? Hasa kama umependekezwa kwenye couple zaidi ya moja?
 
sasa unakwazika nn?hujui ukipenda boga?fata nyuki upate manundu

And you twinushka hebu behave kwa afya yangu jamani, presha inapanda sasa...... please!!
 
Hivi kuonja inaruhusiwa? Hasa kama umependekezwa kwenye couple zaidi ya moja?

aaaaah I will withdraw my propose.......you are wasting my energy here!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…