Couples za JF ni hizi...!

jamani akili kichwani ni mlokole si mwaji wa valuu wala mzee ya totozzzzzz,naona presssure inapanda pressure inashuka!
Kwa hiyo huu ndio ujumbe kuwa umemwacha Solemba? Na alivyokuwa anajidahi? mbona atakuwa mdogo!teh teh! una mambo binti wewe.Mie yangu mackio na macho ya kuangalia screen.
 
and ebu oneni mnavyopendeza jama
Hureeeeeeeeeeee!!!
At last!..
Nitakununulia ndege!(sio njiwa)
Nitakujengea gorofa
Nitakupeleka ughaibuni!

Si unaona...hata Mwanakijiji hawezi hii maneno!
 
cheusimangala hiyo avatar yako hainikwazi hata kidogo, ila tu inanitia majaribuni!
icon10.gif

Sasa majaribu sio mazuri hasa kipindi hiki cha kwaresima!
icon10.gif
hii inakukomaza ili ukikutana nao mtaani ambako huwezi kuzuia kukutana nao,uone ni vi2 vya kawaida.
 
basi sina budi kuapa mbele ya wana JF"mm pearl pelepetua nakubali kuwa na ww Paka jimmy paka,kuwa mume wangu wa ndoa lakini kama pesa zitakuwa hazipungui mfukoni,katika raha peke yake,shida zako na familia yako,katika uzim tu ugonjwa utajiju,hadi kifo kitutenganishe,ww kufa mm nachukua mtu mwingine.pasi apa na ww mume
Hureeeeeeeeeeee!!!
At last!..
Nitakununulia ndege!(sio njiwa)
Nitakujengea gorofa
Nitakupeleka ughaibuni!

Si unaona...hata Mwanakijiji hawezi hii maneno!
 
'Kwa niaba ya wana jei efu wote' namchukua Egyps Women.

Kwa niaba nyingine naomba Ktk harusi yetu FL1 na shemeji wawe wasimamiz wa harusi yetu. (If u no wor ai miin).

Samahani kama sijakwaza mtu!
 
BWABWA na NYIVONDUMAR

CHEUSI MANGARA NA MASANILO

ICU NA MWAKITAKOTAKO

PRETA NA MWAKIPUMBU
 
basi sina budi kuapa mbele ya wana JF"mm pearl pelepetua nakubali kuwa na ww Paka jimmy paka,kuwa mume wangu wa ndoa lakini kama pesa zitakuwa hazipungui mfukoni,katika raha peke yake,shida zako na familia yako,katika uzim tu ugonjwa utajiju,hadi kifo kitutenganishe,ww kufa mm nachukua mtu mwingine.pasi apa na ww mume
hahaa pearl kiapo naona umeki-adjust kidoogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom