Fair analysis, tayari Yanga wanaingia wakiwa na kumbukumbu ya kupigwa tatu bila na Mtibwa kwenye ligi wakati Simba anaingia na record ya kutokufungwa hata mechi moja wala kutoa draw. Psychologically Simba wapo better zaidi kuliko Yanga.
Again Yanga wapo under pressure baada ya kuchapwa bao tano bila na Simba katika mechi yao ya mwisho, na hivyo nategemea kuona wakicheza kwa tahadhari kubwa sana.
Kiuchezaji Yanga ni wazuri na hasa wachezaji wa kati, huwa wanapendelea kucheza mpira wa sekeseke, wa kukimbiza, that's their style of play. They do not play an entertaining football most of the time.
Simba mara nyingi wanacheza mpira wa kupanga mashambulizi, they pass the ball around and they are pretty entertaining. Kwa kumkosa Okwi Simba wana pigo kubwa sana pale mbele. Mara nyingi Sunzu sio mchezaji skillfull sana katika kuwapenya mabeki ila kuwa anajiposion vizuri na kuscore very important goals. Mara nyingi anapokabwa sana anakuwa haonekani mpaka anasahaulika, na ndio hapo anapoweza kufanya madhara.
Tunategemea mpira mzuri ila ushindi utaenda kwa yeyote, wote wana deserve kushinda.