Naombeni msaada kwawale wanaojua inaonyeswa chaneli gani kwenye star time
Vipi mtanange umeshaanza huko wadau? Vipi matokeo?
hata star tv watarusha
Yanga bana! mazoezini mnacheza viduku alafu mnataka ushindi!!! Mapouda leo lazima yatolewe na majasho! Chezea Ngassa wewe!!!!
Ngoma inaanza kuchezwa saa1.00 mkuu.mwenye matokeo atujulishe plse