Countdown to SIMBA v YANGA showdown on 3rd October 2012

Countdown to SIMBA v YANGA showdown on 3rd October 2012

Status
Not open for further replies.
Hahhaha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mlioko ndani ya uwanja tupeni kinachojiri wakati huu.
 
mechi za Simba na Yanga zlizochezwa usiku ilikuwa kama hivi

1-1975 klabu bingwa Africa mashariki na Kati uwanja wa Amani Zanzibar Yanga 2 Simba 0
2-1991 klabu bingwa Afrikca Mashariki Uwanja wa Amani Zanzibar dakika 120 Simba 1 Yanga 1 katika penati Simba 9 Yanga 8
3- 1992 klabu bingwa ya Muungano uwanja wa Amani Zanzibar Simba 1 Yanga 0
4-2010 kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amani Zanzibar Simba 2 Yanga 0
5-2011 Ngao ya hisani Uwanja Mkuu wa Taifa Simba 2 Yanga 0
6- tarehe 3 october 2012 Uwanja mkuu wa Taifa ligi ya Vodacom- Simba ? Yanga?
 
Ukitaka kununua mishikaki ya nyama ya simba karibu uwanja wa Taifa leo kuanzia saa moja jioni!
 
Hakuna cha ubuyu twita, fesibuku, youtube wala google. Leo tunawatupia kandambili goli sita bila wakachapane bakora.
 
Yanga imara daima
Maneno tu, kwa TZ mi natofautiana sana na ww!

Hahaha, jana (Chelsea) tumefanya mauaji, nowadays naishi kwa amani, vijana hawajaniangusha.

Leo wewe ni mtani eh? Mnyama anawatandika tano tena hahahaha, au unabisha?
 
naona hapa ikulu ya nga wanapita na yutong lao wakielekea taifa..
 
Maneno tu, kwa TZ mi natofautiana sana na ww!

Hahaha, jana (Chelsea) tumefanya mauaji, nowadays naishi kwa amani, vijana hawajaniangusha.

Leo wewe ni mtani eh? Mnyama anawatandika tano tena hahahaha, au unabisha?

leo mkipakatwa lazima rage aseme zile red ndio zimefanya mfungwe..
 
Maneno tu, kwa TZ mi natofautiana sana na ww!Hahaha, jana (Chelsea) tumefanya mauaji, nowadays naishi kwa amani, vijana hawajaniangusha.Leo wewe ni mtani eh? Mnyama anawatandika tano tena hahahaha, au unabisha?
Mkuu taratibu, timu inacheza kupaki bus ndo uwe na amani!!
 
MBUYU kamata Ngassa meeeeeeeeeeeeeeeen!! Sharo wa kweli MBUYU a.k.a UBUYU!!!
 
ndetichia mi baada ya kumaliza kazi ya ufundi nawahi kaunta niangalie vizuri kwenye dstv
 
Last edited by a moderator:
ndetichia mi baada ya kumaliza kazi ya ufundi nawahi kaunta niangalie vizuri kwenye dstv
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom