Mimi ni Yanga, lakini sipendi mechi ya Simba na Yanga irudi kama wakati ule wa akina Gulamali na Dewji, pesa zilitumika kuamua timu gani ifungwe na ishinde, tunataka kufurahia ushindi wa halali na wala si wa kubebwa, kumbe watani zang Simba nawaambia hata sisi watu tunaojali Kandanda la kuleta maendeleo si kwa vilabu tu bali kwa nchi, hatupendi marefalii wanaobeba timu iwe kwa kutoa upendeleo ama hata kwa kuwatoa wachezaji kiunazi. Tupeni raha kwa kuwa fair, ili tutakaposhangilia tuwe huru!
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Basi la Simba likiwa limepaki makao makuu ya Trafiki, kusubiri ulinzi kwa ajili ya kwenda kuipokea timu Bandarini, ikitokea Zanzibar[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Basi la Simba likiwa limepaki makao makuu ya Trafiki, kusubiri ulinzi kwa ajili ya kwenda kuipokea timu Bandarini, ikitokea Zanzibar[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Eeneo la Gerezani, karibu na BP kama unaenda Kurasini[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Eneo la Gerezani, karibu na BP kama unaenda Kurasini[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Jamaa amenunua na kuvaa hapo hapo jezi ya Yanga[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hee Mtani wale Mabingwa wa Super 8 wameshindwa kuwapiga wale watoto wetu wa'chovu? ama kweli hamjawalipa fedha zao,sasa subirini muone rambirambi za Mshikaji (RIP) zitakavyowagharimu kwenye mechi ya wakubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.