Could this be it?....................

It's very sad how some people are so callous about infidelity. Remarkable is an understatement.
 
...99.9% jibu litakuwa hilo. Anyway Mwj1, mimi nadhani kwa kesi hii (ili usijiumize akili,) achana nao bana. Mwambie dada'ko akili kichwani, kuna mengi usiyoyajua ambayo kwa miaka mingi walikuficha. Why now ndio waanze kukutwisha mzigo wa ushauri? ili kesho keshokutwa yakitokea ya kutokea wakuhusishe nawewe.

Mtego huo, jitoe!...kaa nao mbali.

101%...kwani MJ1 alitegemea aseme yupo happy ili ajiongezee vikwazo?
 
Mapenzi ni siri ya wawili. Are you sure jamaa hajawahi pewa? All 13 years? Inawezekana dada kamwambia enough ndo anatoa chozi asihachwe. I fail to believe they were just talking for 13 years!
 
Sasa kama hakumkubali kipindi hicho kabla hajawa mume wa mtu nini kinamwaminisha sasa hivi atakubalika mpaka aje kumlilia???
Na kama anajua kulia kunaweza kusababisha huruma ya aina fulani ...kwanini hakulia miaka hiyo kabla hajaoa???

Inawezekana jamaa kachoka ndoa yake sasa anatafuta pa kupumzikia.Which would explain kilio chake.
Inawezekana haridhiki na ndoa yake....labda alidhani itakua zaidi ya ilivyo.
Swala la kwamba ndio penzi lake kuu inakua ngumu kidogo kuamini maana jamaa ''ameoa'' na miaka imepita.Angekua amependa haswa asingeweza kumweka mwanamke mwingine ndani .

Ushauri ni dada yako amsaidie jamaa kuheshimu ndoa yake kwa kumkatalia hata alie machozi ya damu.Au kama wote wanataka avunje ndoa yake aungane na dada maana mpaka hapo hamtendei mkewe haki kumpenda mwanamke mwingine zaidi yake.

Aksante Lizzy maneno yako kuntu
Ndio maana nikajaomba mawazo yenu kabla sijamjibu sisy maana mie mwenyewe ninasikia harufu ya usanii ingawa nilikuwa n adoubt kutokana na situation yenyewe na wahusika wenyewe............. kitu cha kukumbuka hapa ni kuwa huyu baba ameoa, whether yuko happy or not he is married na ana mke na watoto......nachelea dada yangu anawezaona namwonea wivu au sitaki awe na furaha (maana wanawake tunajijua).
 
Mapenzi ni siri ya wawili. Are you sure jamaa hajawahi pewa? All 13 years? Inawezekana dada kamwambia enough ndo anatoa chozi asihachwe. I fail to believe they were just talking for 13 years!

Oh yeah, mapenzi na uaminifu ni siri ya mtu moyoni. Huenda jamaa lishamega siku nyingi tu......
 
MJ1 huyu jamaa anataka kuchovya kwa sister wako kwa gear ya kutoa machozi ya damu halafu ndio inakuwa imetoka hiyo that's my conclusion cha msingi amwambie jamaa abaki na ndoa yake period
ankal lakini hapa pia naona kama tunausemea moyo vile? hebu jaribuni kuianalyse hii ishu kwa kuangalia upande wa mdogo wa mjukuu mtiifu pia, kuna kitu mjukuu mtiifu anafichwa kwenye hii whole swagga beleive u me, na usishangae mjukuu mtiifu akaja kugundua kwamba play maker wa hii swaga ni dadaake. I will never buy it kwamba huyu mdada wa Mjukuu mtiifu imemtokezea hii as a shocking suprise.
 
hapa ninachoona kuna unfinished business kati yao..

Ushauri wangu mie ni dada ajiangalie mwenyewe

anataka nini na anamtaka nani??

dada mtu mzima

aangalie nini anataka naafuate
kitu moyo wake unataka
life is too shot..
lakini papao hapo ni vizuri kukumbuka
kuna pande mbili za shilingi..

sababu huyu tayari ni mume wa mtu...
 
kwa sababu huyo kaka ameshaoa basi hata hayo machozi yake hayana umuhimu kwa huyo dada yako.
dada yako asikubali kujihusisha na mume wa mtu,
kama penzi lao halikuota huko mwanzo basi tena, maji yeshamwagika hayazoleki hayo.
huyo mwanaume aheshimu ndoa yake.

hata kama huyo mwanaume anampenda na kumsaidia mtoto wa dada yako, ni vizuri sana na amshukuru kwa hilo na kuzidisha heshima kwa huyo kaka lakin kisiwe ndiyo kigezo cha huyo dada yako kumkubali huyo kaka kimapenzi.
na amwambie wazi kuwa ksb umeoa basi mimi na wewe hatuwezi tena kuwa wapenzi.

hayo mapenzi/machozi yawe ya ukweli au uongo bado siyo kigezo cha dada yako kufall in love na mume wa mtu.
hayo machozi knn hakuyatoa enzi hizoooooo, mpaka aje ayatoe kipindi hiki???

tusipende kuwatendea wenzetu yale mambo ambayo sisi wenyewe hatutaki kutendewa.
 
ankal lakini hapa pia naona kama tunausemea moyo vile? hebu jaribuni kuianalyse hii ishu kwa kuangalia upande wa mdogo wa mjukuu mtiifu pia, kuna kitu mjukuu mtiifu anafichwa kwenye hii whole swagga beleive u me, na usishangae mjukuu mtiifu akaja kugundua kwamba play maker wa hii swaga ni dadaake. I will never buy it kwamba huyu mdada wa Mjukuu mtiifu imemtokezea hii as a shocking suprise.
Uko sahihi kabisa Klorokwini na ndio maana nikasema toka mwanzo nahisi kuna vitu vya ziada hapa ambavyo dada hajaweza au hajataka kuwa open............... nafikiri sasa umenielewa kwa nini nashindwa kutoa ushauri na majibu yanayoeleweka.................... its complicated hata kwangu na mwanzoni kabla sijashare na nyie hapa nilitaka kuipotezea isinihangaishe kichwa but nikasema let me not be biased ngoja nisikie na wenzangu wangeichukuliaje huu issue................

Sitaki kumprobe more as ninaamini kuwa anazo sababu za kutoniambia vyote tangia mwanzo.
 
hapa ninachoona kuna unfinished business kati yao..

Ushauri wangu mie ni dada ajiangalie mwenyewe

anataka nini na anamtaka nani??

dada mtu mzima

aangalie nini anataka naafuate
kitu moyo wake unataka
life is too shot..
lakini papao hapo ni vizuri kukumbuka
kuna pande mbili za shilingi..

sababu huyu tayari ni mume wa mtu...
hehehe ndio maana ukitongozwa naona mawivu, yaani umemwaga mapointi kibao kwa kutumia post moja tu. mimi sasa nabakia msomaji tu kwenye hii sredi.
 
hehehe ndio maana ukitongozwa naona mawivu, yaani umemwaga mapointi kibao kwa kutumia post moja tu. mimi sasa nabakia msomaji tu kwenye hii sredi.

mmmhhhh
mie kichwa chanizunguka
nadhani Klorokwini nilizotumia zime expire mmmhhh

sasa we unaona dada afanyaje??
 
This is the bottom-line as far as I'm concerned.

Messing with a married person is equivalent to playing Russian roulette.

The consequences could be dire! Anyone with a modicum of intelligence would stay away from it.
 
usicheze na usanii ni kitu kibaya sana, hapo hajasahaulika mtu kabisa, kusahau wife/watoto ni kitu kigumu, wanaume esp waume za watu wakitaka kitu utaambiwa yote, wanatusagia huko njee weeee mke wangu ni hivi na vile, kimepanda kimeshuka but utashaangaa baada ya dk tano namcal utanyamazishwa aongee na "wife" na baada ya nusu saa anakwambia anawahi nyumbani, anamwahi yule yule aliekuwa namsaigia kimapenzi ili aweze kufanya uzinzi wa free....Finest kila kitu kinawezekana ukiweka nia, nia ya huyu kaka ni kuchovya period!

Dah, hii nimecheka sana.
Nyamayao nawe ni hazina ya experiences mbali mbali za maisha.
Kumbe ndivyo ilivyo ee?

heheh fellow tablet hapo nimemnukuu mariah carey bana wakati anachukua award aliongea hayo maneno, mimi mwenyewe sielewi yanamaanisha nini?

bek to ze topik: njemba imesoma weakness ya dadake mjukuu mtiifu na sasa inataka kutumia hiyo weakness kulala nae unono. Hizi sinema za mwanaume kulia mbona zimezagaa mitaani bana, wakipewa ile kitu hawalii tena na wananyamaza kwa staili ya ajabu kabisa, hata simu wanazima heheheeh

...LOL, haya mambo hayafai kuyasema kwa sauti bana, watoto hawajalala (wataiga bure!) ha ha ha!

ankal lakini hapa pia naona kama tunausemea moyo vile? hebu jaribuni kuianalyse hii ishu kwa kuangalia upande wa mdogo wa mjukuu mtiifu pia, kuna kitu mjukuu mtiifu anafichwa kwenye hii whole swagga beleive u me, na usishangae mjukuu mtiifu akaja kugundua kwamba play maker wa hii swaga ni dadaake. I will never buy it kwamba huyu mdada wa Mjukuu mtiifu imemtokezea hii as a shocking suprise.

...Umeona ee? So manipulative! ha ha ha...
Tunaweza tukawa tunamlaumu mwanaume na kilio chake,
kumbe mdada anatumia ujanja wa Carrot "...mzigo wa bwana ufike!"
images
 
Kuna tabia ya wadada kujustify kuendelea uhusiano na wame za watu kwa sababu tu jamaa alikuwa wake kabla hajafahamiana na mke alonae. Kuna kadada karafiki kangu kalikataa proposal ya boyfriend wake kwa kigezo kuwa jamaa hajatulia hafai kuwa mume. Nikamsifu nikasema kumbe mdogo wangu una akili. Eeh Baada ya jamaa kutangaza ndoa na mtu mwingine (nadhani ameshaooa this January) mdada wacha aanze kumganda jamaa. Nahisi wanaendelea kumegana wakati jamaa ndio hivyo ameamua kuoa mwingine. Sasa sijuhi hii ni tabia gani. Kadogo kangu kamekataa kuwa wife kanakubali kuwa kimada mtarajiwa. Na hii nina wasiwasi itamfanya adode maana jamaa anweka kiwingu.
 
Uko sahihi kabisa Klorokwini na ndio maana nikasema toka mwanzo nahisi kuna vitu vya ziada hapa ambavyo dada hajaweza au hajataka kuwa open............... nafikiri sasa umenielewa kwa nini nashindwa kutoa ushauri na majibu yanayoeleweka.................... its complicated hata kwangu na mwanzoni kabla sijashare na nyie hapa nilitaka kuipotezea isinihangaishe kichwa but nikasema let me not be biased ngoja nisikie na wenzangu wangeichukuliaje huu issue................

Sitaki kumprobe more as ninaamini kuwa anazo sababu za kutoniambia vyote tangia mwanzo.
kwa vile ni sister wako mimi nazani sio vyema kuipotezea hii ishu, wewe ni just kumuweka clear tu sister wako kwamba whatever the case (kama true love au fake love, kama anapendwa yeye au anapenda yeye), kujiingiza katika hayo mahusiano kutaspoil future yake tu kwa ku invest kwa mtu ambae tayari yuko committed kifamilia somewhere else, you dont need glasses to see this. Akipuuza then let her live her life.

aargh naskia CCM washapandisha bei ya ugoro. washenz sana hawa!
 
Hahaha.......I missed you dude! welcome back!

Dadake MJ1 hajui taktiksi za wakware wakipania kumlamba binti.....mojawapo ni kulia....si unajua wanawake wana huruma? wao wanafikiri wanawapa uchi wanaume kwa kuwaonea huruma.....midume kama hii ikishawalamba, inasimulia kila mtu jinsi ilivyofanya kwenye sita kwa sita...

Aksante Babu wa Busara................... ni kweli usemayo. Jamani naombeni nipumzike na hii sredi kama kuna jipya ntawajulisha but nashukuru sana nitakachokifanya ni kusamaraizi haya mloniambia hapa kisha nimjulishe (Ikiwezekana nitamprintia ajue kabisa sio wivu wala nini.
 
Aksante Lizzy maneno yako kuntu
Ndio maana nikajaomba mawazo yenu kabla sijamjibu sisy maana mie mwenyewe ninasikia harufu ya usanii ingawa nilikuwa n adoubt kutokana na situation yenyewe na wahusika wenyewe............. kitu cha kukumbuka hapa ni kuwa huyu baba ameoa, whether yuko happy or not he is married na ana mke na watoto......nachelea dada yangu anawezaona namwonea wivu au sitaki awe na furaha (maana wanawake tunajijua).

Kuepuka hilo fanya mpango wa yeye kuweza kusoma hii thread mwanzo mwisho ili ajue watu wa pembeni wanaonaje ishu yake.!!!
 
Kuna tabia ya wadada kujustify kuendelea uhusiano na wame za watu kwa sababu tu jamaa alikuwa wake kabla hajafahamiana na mke alonae. Kuna kadada karafiki kangu kalikataa proposal ya boyfriend wake kwa kigezo kuwa jamaa hajatulia hafai kuwa mume. Nikamsifu nikasema kumbe mdogo wangu una akili. Eeh Baada ya jamaa kutangaza ndoa na mtu mwingine (nadhani ameshaooa this January) mdada wacha aanze kumganda jamaa. Nahisi wanaendelea kumegana wakati jamaa ndio hivyo ameamua kuoa mwingine. Sasa sijuhi hii ni tabia gani. Kadogo kangu kamekataa kuwa wife kanakubali kuwa kimada mtarajiwa. Na hii nina wasiwasi itamfanya adode maana jamaa anweka kiwingu.

...haya sasa! hii nayo ndio nini?
 
...
...Umeona ee? So manipulative! ha ha ha...
Tunaweza tukawa tunamlaumu mwanaume na kilio chake,
kumbe mdada anatumia ujanja wa Carrot "...mzigo wa bwana ufike!"
2Q==

imagine dada alimwahidi 'kaka' kuwa akiwa karibu naye atapewa. 'kaka' akajitoa mhanga, akawa karibu na 'dada' kwa shida na raha akitumaini iko siku atapewa. Siku zikawa zaenda, kaka akifaya mahesabu ya 'huduma' alizotoa zinafit exponential equation. Kwa nini asilie?

Kuna scenario kibao za kumfanya kaka alie. Let us judge him not.

Hadithi inaonyesha kuwa dada hakuwa na mpango na kaka toka walipokutana (8 years back). Kaka kwa vile anapenda akaamua kuwa ruba. Dada kwa vile alikuwa single parent akachukua advantage. Sasa ndio hapo, anawaza atatoaje tunda kwa mtu asiyempenda, mume wa mtu?.....
 
Back
Top Bottom