Could this be it?....................

Wapenzi wangu
Ni matumaini yangu kuwa wote mlikuwa na weekend jema na mmepumzika vya kutosha.

This weekend dadangu amejikuta akikumbwa na majaribu from one of her long time secret lover (sijui kama ni sahihi kumwita secret lover kwa kuwa alishawahilipasua jipu kwa sisy na sisy akajua ila circumstance haikuruhusu kwa wawili hao kuwa pamoja -Sisy alikuwa alizaa na mtu mwingine (hawakai pamoja na jamaa akaoa after seeing sisy kaamua kuzaa na mwingine). Huyu 'shemeji' yangu amekuwa "in love" na dada for more than 13 years... nimeiweka kwenye mabano kwa kuwa siweziithibitisha.......but he has been there despite knowing her relationships status.

This shem of mine ameoa..........but he keep saying that his heart iko kwa sisy!! Na kweli he has been there yaani anything happened to my sisy the guy is there (sometimes huwa namwonea sisy wivu!!). BUT mara zote dada amekuwa akiavoid kukutana na huyu mkaka faragha i.e. sehemu ambayo watakuwa peke yao tu.

Leo jioni dada aliamua kumsikiza (kwa kuwa amekuwa akimsihi kwa muda wote huo) ........mkaka wa watu si akajielezea hisia kwa kilio yaani dada amekuwa shocked hajawahi ona mwanaume anatoa machozi na kuongea kwa uchungu namna hiyo (even after all those years). Amechanganyikiwa na anahisi kama maamuzi yake yanawezakuwa influence.............kanitaka ushauri.

MwanajamiiOne mie nimebaki majicho yamentoka (na yalivyo makubwa basi natisha ka mjusi alobanwa na mlango)- Dada anaonekana kuanza kufall kwa huyu mkaka.....(mh hata sijui ni aje)

Ninaomba msaada wenu
Could this be true love from this man?? Mwanaume kulilia penzi na kulisotea kwa miaka yote hii does it have any meaning?
call it true love or not, the timing is too late to have it work, unless we brand it "kick and run" or "taste it and leave it", The far I can see is complication and not satisfaction.

hehehe huo mjamaa una roho ngumu kweli yaani unalia laiv, halaf uskute pengine ulikuwa hauna hata machozi umejipaka ma viksi ya mchina machoni ili utoke machozi ya kizushi ulambe mzigo. hehehehe watu wajanja bana.
 
Hapo kwenye red mbona inachanganya.
 
That guy is morally bankrupt. What he is doing to his wife is wrong all day wrong. And hypothetically speaking, who is to say that what he is doing to his current wife he won't do it to your sister?
Right on the spot NN nami nilikuwa najiuliza anachomfanyia mke wake sasa hivi how sure are we that he wont do it to MJI's sister?
 
Akisema hivyo wala hakuna kukwama. Unaweza ukamwambia kuwa wajaribu marital counseling na kama hiyo imeshindikana basi watalikiane na mkewe kutokana na irreconcilable differences halafu ndo aangalie mpango wa kumfukuzia sista wako. Hakuna ugumu hapo.

Aksante Nyani. Ila hapana sidhani kama ninatamani kumwona na kuongea naye juu ya jambo hilo.
 
This shem of mine ameoa..........but he keep saying that his heart iko kwa sisy!! Na kweli he has been there yaani anything happened to my sisy the guy is there (sometimes huwa namwonea sisy wivu!!). BUT mara zote dada amekuwa akiavoid kukutana na huyu mkaka faragha i.e. sehemu ambayo watakuwa peke yao tu.

Hapo kwenye red mbona inachanganya.

pole .........wivu wa jinsi jamaa alivyokuwa anajali.
 
hapa inaonyehsa dada nae ameanza kuhamacka....hebu mwambie ahoji hayo maswali na atumie akili yake ya zaida hapo coz kupata jibu la "tutaoana" ni easy kwa mwanaume, sasa wataoanaje/kivipi/itakuwaje kwa mwenzie hapo dada kilegea ataambiwa"tutaonana tu ucjali"...halafu inafuatia hadith ndefu....naona kama dada akatize mawacliano kabisa na huyu kaka, nahic hawatafika mbali.

...umeona ee? hapo mdada kuhamasika ndipo kunapokuwa na kujitoa fahamu!
By the time akili inawarudia 'nazi ishavunjwa, maji yametapakaa ndiko na kusiko.'
BTW, uliisoma hii?;

This shem of mine ameoa..........but he keep saying that his heart iko kwa sisy!! Na kweli he has been there yaani anything happened to my sisy the guy is there (sometimes huwa namwonea sisy wivu!!).

Mwj1, "si kila king'aacho ni dhahabu."
Shem yako ana cheat bana. Hakuna justification ya matendo yeyote mazuri amfanyiayo dada'ko.
 
TF miaka 13 inajumuisha na ile ambayo alikuwa hajaoa.........nadhani ndia yake kwa sasa itakuwa na kama 5 hivi na hakuacha kumchombeza dada hata akiwa ndani ya ndoa yake........so kuiweka sawa sentence yako ni kuwa umeoa for 5 years na bado unamchase mwanamke uliekuwa unamchase for teh past 8 years........... I just wish dada angeopen up more kunipa sababu za kumgomea jamaa hiyo miaka 8 kabla hajaoa!! Mwe duniani jamani ah

Sometimes nahisi mapenzi wala hayana tatizo ni sie wapendwaji na wapendaji ndo tunayacomplicate!!

Sasa kama hakumkubali kipindi hicho kabla hajawa mume wa mtu nini kinamwaminisha sasa hivi atakubalika mpaka aje kumlilia???
Na kama anajua kulia kunaweza kusababisha huruma ya aina fulani ...kwanini hakulia miaka hiyo kabla hajaoa???

Inawezekana jamaa kachoka ndoa yake sasa anatafuta pa kupumzikia.Which would explain kilio chake.
Inawezekana haridhiki na ndoa yake....labda alidhani itakua zaidi ya ilivyo.
Swala la kwamba ndio penzi lake kuu inakua ngumu kidogo kuamini maana jamaa ''ameoa'' na miaka imepita.Angekua amependa haswa asingeweza kumweka mwanamke mwingine ndani .

Ushauri ni dada yako amsaidie jamaa kuheshimu ndoa yake kwa kumkatalia hata alie machozi ya damu.Au kama wote wanataka avunje ndoa yake aungane na dada maana mpaka hapo hamtendei mkewe haki kumpenda mwanamke mwingine zaidi yake.
 
MJ1 inaonekana huyu jamaa hata his poor wife kamsahau kabisa its a pity kama ulivyosema we are the ones who complicate things si ajabu mama wa watu hana thamani tena kwa huyu jamaa

usicheze na usanii ni kitu kibaya sana, hapo hajasahaulika mtu kabisa, kusahau wife/watoto ni kitu kigumu, wanaume esp waume za watu wakitaka kitu utaambiwa yote, wanatusagia huko njee weeee mke wangu ni hivi na vile, kimepanda kimeshuka but utashaangaa baada ya dk tano namcal utanyamazishwa aongee na "wife" na baada ya nusu saa anakwambia anawahi nyumbani, anamwahi yule yule aliekuwa namsaigia kimapenzi ili aweze kufanya uzinzi wa free....Finest kila kitu kinawezekana ukiweka nia, nia ya huyu kaka ni kuchovya period!
 
call it true love or not, the timing is too late to have it work, unless we brand it "kick and run" or "taste it and leave it", The far I can see is complication and not satisfaction.

hehehe huo mjamaa una roho ngumu kweli yaani unalia laiv, halaf uskute pengine ulikuwa hauna hata machozi umejipaka ma viksi ya mchina machoni ili utoke machozi ya kizushi ulambe mzigo. hehehehe watu wajanja bana.
Fellow tablet....I have lost my TUKI dictionary......... can you translate those Dave Cameron's words to Julius Nyerere's?
 
Aksante Nyani. Ila hapana sidhani kama ninatamani kumwona na kuongea naye juu ya jambo hilo.

Okay basi mwambie dadako aachane kwanza na huyo jamaa ilhali bado yuko kwenye ndoa halali. Kama akishatoka kwenye hiyo ndoa hapo ndo anaweza akampa nafasi na kumfikiria. Mwambie dadako ajiweke kwenye nafasi ya huyo mke wa jamaa aone kama atafurahia. Au na hili huwezi kumshauri dadako?
 
Nimetafakari uhusiano wa dada yako na jamaa nimepata majibu yafuatayo.

1. Huyo jamaa anamwekea dada yako KIWINGU. kuwa nae wakati mwingi kunafanya wanaume ambao hawana other commitments washindwe kumwaga sera kwa dada yako.
2. Huyo kijana ni mbinafsi. Kama aliamua kuoa amuhache dada yako aendelee na maisha yake kuliko kutaka kumiliki wanawake wawili kwa wakati mmoja.

Solution
1. Muelimishe dada yako kuwa jamaa anamzibia bahati zake na umri unazidi kwenda kwa sababu ya WINGU analowekewa na jamaa.
2. Kuwa karibu na mume wa mtu hata kwa urafiki wa kawaida ambao si wa kingono ni hatari kwani mkewe akijua itakuwa ngumu kumwelewesha kuwa ni marafiki wa kawaida.
3. Mwisho msimulie kuhusu incidences za mauaji au viloance zinazotokana na cheating kwani hawezi jua mke wa jamaa ni capable of doing what.
 
FA........samahani kama nimekuchanganya but ni vema ukauliza ulipochanganyikiwa nikajitahidi kukuumbia hayo maneno. Ninahitaji na kuomba ushauri wako kwenye hii issue

Funika kombe mwanaharamu apite.

:focus:
1. Hii ni hadithi iliyotoka upande mmoja wa 'wapenzi hawa'
2. Halafu hii ni kauli taarifa. Inakuwa ngumu kudadavua.
3. Ni vigumu kujua mwenzio anawaza nini 'ca. usiusemee moyo wa mwenzio' hivyo basi haiwezekani kuhitimisha fulani ana mapenzi ya kweli au ni msanii.
4. Bwana kaoa na bibi ni mseja.

Mume wa mtu ni sumu, no matter ana mapenzi au ni msanii.
 
huyo dada yako hana msimamo,ni wale sitaki nataka akitongozwa!
kwa kawaida km mtu humtaki,unamuonyesha wazi kwa hisia zako kuwa hauko intrested naye,huna future naye.....wanaume wanakuwa persistent na tongozo siku za mwanzo tu ndio ataonyesha kung'anga'nia baada ya hapo kama umeonyesha wazi humtaki atakuacha,dada yako anashindwa kumuonyesha huyo kaka kuwa hamtaki,haiwezekani mtu akufuatilie for 13 good years ni lazima atakuwa anapata vifalse hopes kutoka kwa dada yako!
mwambie dada yako AAMUE kuwa nyumba ndogo,au kumpotezea huyo kaka,machozi sio issue labda he had a difficult day!
 
Fellow tablet....I have lost my TUKI dictionary......... can you translate those Dave Cameron's words to Julius Nyerere's?

Is it that I am beginning to lose my sight or what? Those words are hardly Julius Nyerere's. They have Winston Churchill written all over them. Koh koh....
 
Fellow tablet....I have lost my TUKI dictionary......... can you translate those Dave Cameron's words to Julius Nyerere's?
heheh fellow tablet hapo nimemnukuu mariah carey bana wakati anachukua award aliongea hayo maneno, mimi mwenyewe sielewi yanamaanisha nini?

bek to ze topik: njemba imesoma weakness ya dadake mjukuu mtiifu na sasa inataka kutumia hiyo weakness kulala nae unono. Hizi sinema za mwanaume kulia mbona zimezagaa mitaani bana, wakipewa ile kitu hawalii tena na wananyamaza kwa staili ya ajabu kabisa, hata simu wanazima heheheeh
 
Wapenzi wangu
Ni matumaini yangu kuwa wote mlikuwa na weekend jema na mmepumzika vya kutosha.

This weekend dadangu amejikuta akikumbwa na majaribu from one of her long time secret lover (sijui kama ni sahihi kumwita secret lover kwa kuwa alishawahilipasua jipu kwa sisy na sisy akajua ila circumstance haikuruhusu kwa wawili hao kuwa pamoja -Sisy alikuwa alizaa na mtu mwingine (hawakai pamoja na jamaa akaoa after seeing sisy kaamua kuzaa na mwingine). Huyu 'shemeji' yangu amekuwa "in love" na dada for more than 13 years... nimeiweka kwenye mabano kwa kuwa siweziithibitisha.......but he has been there despite knowing her relationships status.

This shem of mine ameoa..........but he keep saying that his heart iko kwa sisy!! Na kweli he has been there yaani anything happened to my sisy the guy is there (sometimes huwa namwonea sisy wivu!!). BUT mara zote dada amekuwa akiavoid kukutana na huyu mkaka faragha i.e. sehemu ambayo watakuwa peke yao tu.

Leo jioni dada aliamua kumsikiza (kwa kuwa amekuwa akimsihi kwa muda wote huo) ........mkaka wa watu si akajielezea hisia kwa kilio yaani dada amekuwa shocked hajawahi ona mwanaume anatoa machozi na kuongea kwa uchungu namna hiyo (even after all those years). Amechanganyikiwa na anahisi kama maamuzi yake yanawezakuwa influence.............kanitaka ushauri.

MwanajamiiOne mie nimebaki majicho yamentoka (na yalivyo makubwa basi natisha ka mjusi alobanwa na mlango)- Dada anaonekana kuanza kufall kwa huyu mkaka.....(mh hata sijui ni aje)

Ninaomba msaada wenu
Could this be true love from this man?? Mwanaume kulilia penzi na kulisotea kwa miaka yote hii does it have any meaning?

Haaahaaaa! Kua uyaone mwanakwetu...hii safari mpaka tufike tunakotakiwa kufika tutaona vitu vya rangi zote kama inavyopaswa kuwa...Kumpenda mtu ni rahisi tu kama ataweza kuzijua hot buttons za mpenziwe na kuzibonyeza....mi sisemi sana maana niliwahi kuuliza cut off ya kupenda inaishia wapi na bado sijapata jibu mpaka leo
 
usicheze na usanii ni kitu kibaya sana, hapo hajasahaulika mtu kabisa, kusahau wife/watoto ni kitu kigumu, wanaume esp waume za watu wakitaka kitu utaambiwa yote, wanatusagia huko njee weeee mke wangu ni hivi na vile, kimepanda kimeshuka but utashaangaa baada ya dk tano namcal utanyamazishwa aongee na "wife" na baada ya nusu saa anakwambia anawahi nyumbani, anamwahi yule yule aliekuwa namsaigia kimapenzi ili aweze kufanya uzinzi wa free....Finest kila kitu kinawezekana ukiweka nia, nia ya huyu kaka ni kuchovya period!

I totally agree with you with EVIDENCE!
 
Mbu mie hata sijui kwa kweli labda nikijaliwa kukaa chini na huyu mkaka ninawezatell baada ya kumswalika kwa sababu natamani sana nisikie upande huu lakini dhamira inanishtaki.....ni kama kutaka kuhalalisha uzinzi .............supposed mkaka akisema yuko unhapply married ...............nitajikuta nakwama uwiii...........

...99.9% jibu litakuwa hilo. Anyway Mwj1, mimi nadhani kwa kesi hii (ili usijiumize akili,) achana nao bana. Mwambie dada'ko akili kichwani, kuna mengi usiyoyajua ambayo kwa miaka mingi walikuficha. Why now ndio waanze kukutwisha mzigo wa ushauri? ili kesho keshokutwa yakitokea ya kutokea wakuhusishe nawewe.

Mtego huo, jitoe!...kaa nao mbali.
 
Is it that I am beginning to lose my sight or what? Those words are hardly Julius Nyerere's. They have Winston Churchill written all over them. Koh koh....
Hahaha.......I missed you dude! welcome back!

heheh fellow tablet hapo nimemnukuu mariah carey bana wakati anachukua award aliongea hayo maneno, mimi mwenyewe sielewi yanamaanisha nini?

bek to ze topik: njemba imesoma weakness ya dadake mjukuu mtiifu na sasa inataka kutumia hiyo weakness kulala nae unono. Hizi sinema za mwanaume kulia mbona zimezagaa mitaani bana, wakipewa ile kitu hawalii tena na wananyamaza kwa staili ya ajabu kabisa, hata simu wanazima heheheeh
Dadake MJ1 hajui taktiksi za wakware wakipania kumlamba binti.....mojawapo ni kulia....si unajua wanawake wana huruma? wao wanafikiri wanawapa uchi wanaume kwa kuwaonea huruma.....midume kama hii ikishawalamba, inasimulia kila mtu jinsi ilivyofanya kwenye sita kwa sita...
 
Back
Top Bottom