Could this be it?.................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Could this be it?....................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Apr 17, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wapenzi wangu
  Ni matumaini yangu kuwa wote mlikuwa na weekend jema na mmepumzika vya kutosha.

  This weekend dadangu amejikuta akikumbwa na majaribu from one of her long time secret lover (sijui kama ni sahihi kumwita secret lover kwa kuwa alishawahilipasua jipu kwa sisy na sisy akajua ila circumstance haikuruhusu kwa wawili hao kuwa pamoja -Sisy alikuwa alizaa na mtu mwingine (hawakai pamoja na jamaa akaoa after seeing sisy kaamua kuzaa na mwingine). Huyu 'shemeji' yangu amekuwa "in love" na dada for more than 13 years... nimeiweka kwenye mabano kwa kuwa siweziithibitisha.......but he has been there despite knowing her relationships status.

  This shem of mine ameoa..........but he keep saying that his heart iko kwa sisy!! Na kweli he has been there yaani anything happened to my sisy the guy is there (sometimes huwa namwonea sisy wivu!!). BUT mara zote dada amekuwa akiavoid kukutana na huyu mkaka faragha i.e. sehemu ambayo watakuwa peke yao tu.

  Leo jioni dada aliamua kumsikiza (kwa kuwa amekuwa akimsihi kwa muda wote huo) ........mkaka wa watu si akajielezea hisia kwa kilio yaani dada amekuwa shocked hajawahi ona mwanaume anatoa machozi na kuongea kwa uchungu namna hiyo (even after all those years). Amechanganyikiwa na anahisi kama maamuzi yake yanawezakuwa influence.............kanitaka ushauri.

  MwanajamiiOne mie nimebaki majicho yamentoka (na yalivyo makubwa basi natisha ka mjusi alobanwa na mlango)- Dada anaonekana kuanza kufall kwa huyu mkaka.....(mh hata sijui ni aje)

  Ninaomba msaada wenu
  Could this be true love from this man?? Mwanaume kulilia penzi na kulisotea kwa miaka yote hii does it have any meaning?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mtu kuoa au kuolewa haiimaanishi kuwa hatopenda / hatopendwa na wengine.
  Ni kwasababu za kiimani na kiutamaduni tunashindwa kufanya vile mioyo yetu inatamani.
  Mtu kukufatilia muda mrefu isikupe uhakika kuwa ni kweli anakupenda. Mwanaume anaweza kuendelea kukusumbua wakati huo huo anachakachua sehemu nyingine. Mwanaume kulilia penzi isikustue. Hawa viumbe wapo tayari kuonekana mapoyoyo ilimradi apate anachokitaka.
  Labda utuambie ni circumstances gani zilifanya sist wako asiwe na jamaa.
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  First Error!
  Umefungua mabano bila kufunga!!!
  Then hapo kwenye blue uliandika haraka haraka!!

  Nimepata tabu kuielewa hiyo paragraph yenye mabano mengi mekundu
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa hili la miaka 13 naona ni muda mrefu sana kiasi kwamba, kama mdada alikuwa ndo kigoli wa haja kwenye mwenye miaka 21 mpaka 23, sasa hivi atakuwa anamiaka 34 mpaka 36 ambapo atakuwa ameshachuja na wameshatokea vigoli wakali zaidi yake.
  Kama ingekuwa tamaa tu ya kawaida ya mwili, huwezi subili miaka 13.
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Acha hizo wewe mwenzako analilia penzi unasema anazuga lol mwanaume hadi ametoa machozi ujue its for real
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 415,867
  Trophy Points: 280
  PHP:
  Leo jioni dada aliamua kumsikiza (kwa kuwa amekuwa akimsihi kwa muda  wote huo) ........mkaka wa watu si akajielezea hisia kwa kilio yaani  dada amekuwa shocked hajawahi ona mwanaume anatoa machozi na kuongea kwa  uchungu namna hiyo (even after all those years). Amechanganyikiwa na  anahisi kama maamuzi yake yanawezakuwa influence.............kanitaka  ushauri.
   
  MwanajamiiOne mie nimebaki majicho yamentoka (na yalivyo makubwa basi  natisha ka mjusi alobanwa na mlango)- Dada anaonekana kuanza kufall kwa  huyu mkaka.....(mh hata sijui ni aje)
   
  Ninaomba msaada wenu
  Could this be true love from this man
  ?? Mwanaume kulilia penzi na kulisotea kwa miaka yote hii does it have any meaning?
  machozi mara nyingi ni ....crocodile tears na hata kama ni kweli do not make decisions based on emotional sympathy for that loser......................watu wa namna hii huishia kuwa katika crimes of passion.............................................because they harbor very low self esteem
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  13 years that's enough hell of the time
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahaha!
  Wengine 2shatolewa machozi na makamasi.
  Wizi mtupu.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  si anasubiri huku anaendelea na mambo yake.
  Hata huyo mwanaume naye baada ya miaka 13 kama alikuwa ana 30 sahv 43 kauzee nako kashamnyemelea. Ngoma droo.
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hivi haujui kuwa ni nadra kwa mwanaume kulia akilia ujue anachomaanisha ni kweli acha hizo hus ngoja Juan aje akulilie na wewe
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nani alikwambia mwanaume anazeeka
   
 12. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ingawa kisa chenyewe sijakielewa sana, lakini unataka kutuambia kuwa Sister wako ana mtoto (sijui wa wa mwanaume gani), ila kuna mume wa mtu amekuwa na mahusiano naye kwa miaka kama 13..

  Nadhani Huyo Sister hakumtendea wema mke wa mwenzie kwa kutembea na mme wa mtu miaka yote hiyo.
  Nafikiri kukishakuwa na ndoa, haijalishi mliingiwa kwa 'style' gani, ni lazima iheshimiwe.
  Mwanaume analia kwa sababu anafikiri kwamba alifanya makosa kumuoa mke aliyenaye sasa, na hii imemfanya aishi kwa kivuli cha Sister wako..
  Nashauri huyo dada yako asiwe sababu ya ndoa ya watu kuvunjika, aheshimu ndoa, na kuanzia sasa, aachane na mume wa mtu..
  haingii akilini hata kidogo kwa mume aliyeoa kulilia penzi la nje..Hiyo dada yako miaka yote 13 alikuwa anafanya nini...inawezekana amekataa 'Proposal' nyingi tu kisa kumridhisha mume wa mtu..
  Mshauri dada yako, amuache mume wa mtu..
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  juan akilia namtwanga talaka hapo hapo.
  Sitaki uchuro.
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kwani wanawake 2nazeeka?
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wengine wanazeeka ila wa kwangu mimi hazeeki.
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lakin yote tisa, kumi ni kwamba . . . kutoa ushauri wowote wa kuendeleza mahusiano na mke/mume wa mtu kushauri muendelezo wa UZINZI bila kujali wanapendana vipi.

  Ndoa si lelemama. Kuitunza na kuiendeleza ndoa kazi kweli kweli.
  Kama wanataka kujenga mahusiano nje na ndoa zao basi wajenge tu, maana si kitu kigeni siku hizi. Ila wajue kwamba MUOSHA HUOSHWA.
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Mwj1 sijui sijaelewa kilichomliza huyo kaka au nimekusoma haraka haraka?...Anyway, ngoja nifike hapo nyumbani unielezee vizuri.
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hongera.
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Alikuwa analilia nini ambacho hakuwahi kukipata for 13yrs? Damn!
  He must be some new type of jerk!
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Bora wakwetu umeliona nawe hilo.
  Jamaa ni msanii, period.
   
Loading...