Could this be it?....................

Bado nina imani kuna wengi wanaheshimu ndoa na uamuzi wa talaka si rahisi kihivyo. Otherwise hamna ndoa ambayo ingebaki. Tuna marafiki wengi tu wanishi na wake/wame zao kwa muda mrefu tu sasa ingawa tunajua ndoa zote zina ups and downs
 
Mkuu

wengi tu wana ndoa na wana give a shot and a few (very few) wanafanikiwa, tuache utopia tuongee ukweli, ni wangapi tunawafahamu wameolewa na ex-husbands wa watu??

Its not a closed system anymore, marriage is an open system depending on the players

You are majorly mistaken my dude. This here is not a case of the ex or someone's ex. For all we know, the guy is still married to his wife. "Still" is the operative word here. Now tell me, how can MwanajamiiOne's sister go out with a married man? Don't you have a problem with that? Don't you see anything wrong with that?

Unless MwanajamiiOne's sister is also morally bankrupt and is willing to be the guy's paramour for some time, then she can go ahead and date him. But, she should know that the consequences of dating a married man or woman are dire. Regardless, it still would be wrong no matter how you slice and dice it if they carry on a love affair while he is still married.

I am flabbergasted that you actually see nothing wrong with the guy's licentious behavior.
 
You are majorly mistaken my dude. This here is not a case of the ex or rather someone’s ex. For all we know, the guy is still married to his wife. “Still” is the operative word there. Now tell me, how can MwanajamiiOne’s sister go out with a married man? Don’t you have a problem with that? Don’t you see anything wrong with that?

Unless MwanajamiiOne’s sister is also morally bankrupt and is willing to be the guy’s paramour for some time, then she can go ahead and date him. But it still would be wrong no matter how you slice and dice it if they carry on a love affair while he is still in a marriage.

I am flabbergasted that you actually see nothing wrong with the guy’s licentious behavior.
Mkuu, i understand you very well.. na kama huwa unanisoma vizuri humu ndani utaelewa nilimaanisha nini, na pia in my first post regarding this thread, i pointed out clearly kwamba hakuna kitu kulia-lia is nothing!!!

Now back to the topic, if you want us to treat this thread fairly, then we would have reached 11 pages, coz the answer from the beginning would be this one "HOW CAN MJ1, OF ALL THE PEOPLE BRING A THREAD ABOUT HER SISTER DEALING WITH A MARRIED MAN???

Kitendo tu cha dada wa MJ1 ku-flirt na mume wa mtu for all those 13 years and then unakuja kusema umefunguka, to me is a lie and we are all swimming in a deep ocean of lies... now if you want me to be mean to the sis, i am more than happy ...afterall we havent heard to other side of the story

Kama una maadili wewe hongera sana, mimi si mkamilifu na i am majorly mistaken and pole sana...

Hivi ni wapi tunakua wakweli na wapi tunakua waongo??

ALL IN ALL... MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO
 
if that is what you believe kila mkeo akinuna wewe utatoa taraka uoe atakaye cheka siku zote. Sijuhi hiyo openess itafanya watu waoe/waolewe mara ngapi maishani
basi sijaeleweka, kusema close or open system sina maana ya kucheka siku zote
 
Binafsi nadhani hii thread ina fumbo tamu sana, na natamani niwe sahihi kwa hili

hapa kuna 13 years flirt (assumed), mume wa mtu, mtu aliyezaa (hatujui kama alizaa na mume wamtu), kulialia, kutamani kufunguka, true love, fake love, mume wa mtu, dada mtu, shemeji, morals, infidelity, etc. kama we want to balance this one, basi tuwe fair kwa huyo mke wa mtu, na huyo dada assuming she ahs been clean for the past 13 year akiwa na huyo dude

To me this thread is deeper and may lead to povu, but if we just want to pretend, assume, massage and butter... then huyo jamaa hafai, huyo dada akae mbali wala asijihangaishe nk. which to me leaves alot to desire about our social networks
 
Tunachanganya mapenzi na tamaa. Wanaume kwao ku "do" kunatimiza haja zao za mwili. Wakati sisi hilo jambo linahusisha mwili, akili na roho. Utaanza kumuwaza mume wa mtu kumbe yeye akili yake haipo kwako iko kwenye ku "do" tu.
umemaliza

hapa kwa taarifa yako wengi tunaangalia tamaa kwani if it is love, this thread was not supposed to be here coz one part is married
 
Mkuu, i understand you very well.. na kama huwa unanisoma vizuri humu ndani utaelewa nilimaanisha nini, na pia in my first post regarding this thread, i pointed out clearly kwamba hakuna kitu kulia-lia is nothing!!!

Okay

Now back to the topic, if you want us to treat this thread fairly, then we would have reached 11 pages, coz the answer from the beginning would be this one "HOW CAN MJ1, OF ALL THE PEOPLE BRING A THREAD ABOUT HER SISTER DEALING WITH A MARRIED MAN???
And I am shocked as to why that fact (per MwanajamiiOne) has escaped most of the people who have chimed in.

Kitendo tu cha dada wa MJ1 ku-flirt na mume wa mtu for all those 13 years and then unakuja kusema umefunguka, to me is a lie and we are all swimming in a deep ocean of lies... now if you want me to be mean to the sis, i am more than happy ...afterall we havent heard to other side of the story
No bull, no spin. You are right on the money.

Kama una maadili wewe hongera sana,
Ndiyo ninayo. Na kila siku ninajitahidi kadri ya uwezo wangu kuyashikilia. Sijawahi kulala wala kuchezacheza na mke wa mtu, kwa kadri nijuavyo.

mimi si mkamilifu
That's lame.

na i am majorly mistaken and pole sana...
Now you are being phony. Pole ya nini sasa?

Hivi ni wapi tunakua wakweli na wapi tunakua waongo??
Kwenye kuheshimu ndoa za watu daima nimekuwa mkweli. Wapi wewe umekuwa mkweli na wapi umekuwa muongo unajua mwenyewe.

ALL IN ALL... MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO
Hahahaaa you already know. I wholeheartedly agree.
 
Binafsi nadhani hii thread ina fumbo tamu sana, na natamani niwe sahihi kwa hili

hapa kuna 13 years flirt (assumed), mume wa mtu, mtu aliyezaa (hatujui kama alizaa na mume wamtu), kulialia, kutamani kufunguka, true love, fake love, mume wa mtu, dada mtu, shemeji, morals, infidelity, etc. kama we want to balance this one, basi tuwe fair kwa huyo mke wa mtu, na huyo dada assuming she ahs been clean for the past 13 year akiwa na huyo dude

To me this thread is deeper and may lead to povu, but if we just want to pretend, assume, massage and butter... then huyo jamaa hafai, huyo dada akae mbali wala asijihangaishe nk. which to me leaves alot to desire about our social networks

Bottomline hapa ni kwamba, hata kama ndoa ya jamaa iwe mbaya kiasi gani, hali ya yeye kuwa kwenye ndoa inamfanya awe off limit hadi atakapotoka. Au, kama mkewe karidhia yeye kutoka nje basi huo ni mpangilio wao na mimi hapo sitakuwa na la zaidi.

Lakini kama mkewe hajui kuhusu huyu dada wa MwanajamiiOne, basi bado anachofanya ni kosa hata kama ndoa yake ni mbaya.
 
Mkuu pamoja...

Ndio maana kwenye ile post yangu ya "give it a shot" nilikuwa cocky and damning"

tukitaka kuwa wakweli, huwa tunaishia kuumiza watu tu, lakini sidhani kama hoja ya mke au mume wa mtu inahitaji diskasheni, na pale inapotokea inakuja basi ujue ile ndoa ilishakua out of discussions
 
...ah ahha hhaa! hakuna! hata mimi ningelia (uchungu)
huwezi jua jamaa alikuwa amejiandaa kiasi gani siku hiyo (pamoja na kuwa ameoa!)
Mwj1 alishasema jamaa hajawahi pewa nafasi ya u faragha wawili peke yao.

ha ha ha, FA ushawahi kumfanyia mtu nini? ulivyoielezea mnh? ha ha ha!

hahahaaaa, unajua Mbu wanawake wamezoea tunalia sana kwamba ni victims katika mapenzi. Ukweli ni kwamba around 50% ya wanawake na 50% ya wanaume ni victims wa mapenzi (kwa maana ya kuonewa, kunyanyaswa au kutumiwa kwa faida ya jinsi nyingine pasipokuwa na mapenzi ya kweli). Ila kwa vile wanawake tunaweza sana kulia, huwa inachukuliwa kuwa sisi ndio victims. Wanaume wengi wanakufa kiofisi, au wanatafuta alternatives au vyovyote iwavyo ili kupunguza machungu yao.

Bolded black - hapana ila kuishi kwingi kuona mengi. Ni kutokana na kusikiliza mashauri ya watu fairly. Itabidi niachane na hii shughuli maana siku ikija nigeukia sijui kama nitakuwa judged fairly.
 
Binafsi nadhani hii thread ina fumbo tamu sana, na natamani niwe sahihi kwa hili

hapa kuna 13 years flirt (assumed), mume wa mtu, mtu aliyezaa (hatujui kama alizaa na mume wamtu), kulialia, kutamani kufunguka, true love, fake love, mume wa mtu, dada mtu, shemeji, morals, infidelity, etc. kama we want to balance this one, basi tuwe fair kwa huyo mke wa mtu, na huyo dada assuming she ahs been clean for the past 13 year akiwa na huyo dude

To me this thread is deeper and may lead to povu, but if we just want to pretend, assume, massage and butter... then huyo jamaa hafai, huyo dada akae mbali wala asijihangaishe nk. which to me leaves alot to desire about our social networks

...Umeona ee? wengine wameshtukia huenda ni janja ya mwanamke tu kumfanya huyo kaka "Joka la Mchungwani!." ...Miaka 13 (kumi na tatu) linachunga tu mazao bila kula!

A man on leash! ...Binafsi nimeanza kumsikitikia huyo braza!
4C1AD6AA.jpg

kwa 'maradhi' ya kujitakia.
 
Nimeipenda hii Husninyo,
umeongea ukweli mtupu, on the other hand!!!!!!!
Mungu alitupa uwezo huo, tukililia hiyo kitu,
unaweza sema mwanaume si ndio huyu,
kumbe ni fisi alieona mfupa tu, akishamaliza utamu wake, anatambaa kilaini!

afadhali bacha umetoa ushuhuda wa hii kitu.
 
Husninyo aksante hata mie kusema ukweli sikulitilia sana uzito hilo hoja la kulia na kutoa machozi na kamasi.....btu nahisi kilichomchanganya sisy na mimi pia ni kuona kuwa mwanaume huyo amewezaje kustick kwa muda wote huo na bado akaonyesha emossions za hali ya juu?.........si kwamba dada ni msichana kigori bado la hasha ...ameshakula chumvi zake tu za kutosha. Sijui kwa kweli

ampotezee wasije wakaharibiana ndoa.
 
Back
Top Bottom